mzalendo91
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 430
- 138
Cjakuelewa we mleta mada we ndio unataman kuolewa ama??? Maana uelewek mara tayana mara nataka kuolewa
Hvi hata mtu ukisema umuoe huyo mama afu ukabahatika kuzaa nae mtoto wa kike nae akasema anataka awe kama mama yake utawezaje kumkataza!!!?
Hivi huyo Tayana kaacha ile tabia yake ya kuvuta misigara na kutoa moshi kama lorry bovu!!!?
Je, na yale mapombe makali pia!!?