Kama unatafuta mke Tayana huyu hapa

Kama unatafuta mke Tayana huyu hapa

Joined
Aug 6, 2014
Posts
7
Reaction score
3
Ukianza kutaja female presenters hapa Bongo huwezi ukakosa kutaja jina la Tayana Tibenda, ambaye aliwahi kupiga mzigo Clouds Media Group, Times FM before hajasepa zake kuendesha her business katika mambo ya burudani.

Akiwa kama CEO wa ‘No Limits Entertainment' kampuni anayoshughulika na events na tayari imeshafanya some events like Food and Culture Festival, Gospel Tour in Norway kwa kushirikiana na Azania Front.

Tayana akiwa ni mama wa watoto wawili Russel (15) & Tamia lakini bado ni single parent, ijapokuwa on her finger there is a ring ya uchumba for long time now.

why? GET YOUR BAABKUBWA MAGAZINE COPY!!
 
Watoto wawili baba wawili tofauti anayekuja kuoa anaongeza wa 3...mambo haya sifurahii mnakuwa mama mmoja kila mtu na baba yake.
 
Hehehe jamaa anatangaza biashara kimtindo
 
Ukianza kutaja female presenters hapa Bongo huwezi ukakosa kutaja jina la Tayana Tibenda, ambaye aliwahi kupiga mzigo Clouds Media Group, Times FM before hajasepa zake kuendesha her business katika mambo ya burudani.

Akiwa kama CEO wa ‘No Limits Entertainment’ kampuni anayoshughulika na events na tayari imeshafanya some events like Food and Culture Festival, Gospel Tour in Norway kwa kushirikiana na Azania Front.

Tayana akiwa ni mama wa watoto wawili Russel (15) & Tamia lakini bado ni single parent, ijapokuwa on her finger there is a ring ya uchumba for long time now.

why? GET YOUR BAABKUBWA MAGAZINE COPY!!

Cjakuelewa we mleta mada we ndio unataman kuolewa ama??? Maana uelewek mara tayana mara nataka kuolewa
 
Watoto wawili hana mume. Ndo maana ring imekaa muda mrefu. Wahisani hawajaamua kumuweka ndani.
 
Hebu ngoja nikamfukunyue mara moja nirudi na picha yake hapa...
 
tay.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom