JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,450
- 2,498
Dodoma, jiji kuu la Tanzania, linajivunia hali ya hewa ya kupendeza, wanawake wenye haiba nzuri wenye kila sifa ya kuitwa warembo9hasa kondoa), na sehemu bora za burudani.
Mji huu unakua kwa kasi, ukiwa na fursa tele katika biashara, kilimo, na uwekezaji. Utalii wa ndani unashamiri kwa vivutio kama Mlimwa Hills na mashamba ya mizabibu.
Kwa mpenda maisha, kuna kumbi nzuri za starehe nyingi sana. Shida Kubwa ya Dodoma ni vitu vingi bei juu sana.