Kama unatafuta maisha hamia Dodoma hutajutia

Kama unatafuta maisha hamia Dodoma hutajutia

Asilimia 80 wa wabongo wengi wanapenda starehe na anasa ,ila shida ni vipato tu,ndiyo maana kila unayekutana naye atakwambia sipendi mambo ya starehe Kwa sababu yanamaliza hela.

mimi nilijua ataeleza fursa zlizopo za kazi,biashara kumbe starehe na anasa
Hizo pia ni fursa mkuu. kama unaona Sehemu zenye sehemu nyingi za starehe hakuna fursa, kuna mtu ataiona Fursa
 
Kiukweli kwa mikoa ambayo naipenda kuishi na ambapo nikiishi najihisi Niko peponi Ni mwanza, na dodoma. Nilikuwaga naipenda Moro kabla sijafika lkn nilipofika Sina hamu.
 
Dodoma, jiji kuu la Tanzania, linajivunia hali ya hewa ya kupendeza, wanawake wenye haiba nzuri wenye kila sifa ya kuitwa warembo9hasa kondoa), na sehemu bora za burudani.

Mji huu unakua kwa kasi, ukiwa na fursa tele katika biashara, kilimo, na uwekezaji. Utalii wa ndani unashamiri kwa vivutio kama Mlimwa Hills na mashamba ya mizabibu.

Kwa mpenda maisha, kuna kumbi nzuri za starehe nyingi sana. Shida Kubwa ya Dodoma ni vitu vingi bei juu sana.
Aya ya pili ilitakiwa iwe ya kwanza, Aya ya kwanza ilitakiwa iambatane na ya mwisho, hivo ni 1 kwa 2
 
Back
Top Bottom