Kama unamjua mtaje?

Kama unamjua mtaje?

Shenz sana wewe winga choka mbaya, unnafikir hizo cover za simu na mashati ya mtumba ndo dili sanaa achana na kuwa ktuko wachaga wenzio wanamiliki apartments.
Mashati wateja si nyie baghosha 😹😹
Tena nimefungua balo jipya rangi zenu pendwa za kuwaka na maua maua kama yoteeee mshindwe nyie matajiri zangu..!! 😹

Wachaga ndio tumeshikilia uchumi wa nchi hujui..!! 😹
 
Kwamba Lamomy anakutaka? Hii ni maajabu!!
My love hawa kausha damu wamekuwa wakinitamani kwa muda sana ila wameshindwa kuongea waki fikiri mimi msukuma Nita washadadia... Kumbe najua vitu vyangu kama wewe...
 
We lia lia huna lolote, choka mbaya unajifanya eti unamiliki biashara kumbe winga kula yako juani tena siku nzima bustard
Sasa Uwinga si ndo biashara yenyewe 😹
Vipi sasa kuna shati la njano hapa vitu vyako kabisaa tajiriii. Bei zetu zile zile elfu 25 😹
 
Haha Unachekesha sana😂 am way higher na wasukuma sio wamasai..

Kweli Unachekesha sanaa umenisaka na ID zako ila umeambulia patupu
Mi nikusake wewe? 😹😹
Nilikwambia punguza kujipa umuhimu usiokuwa nao huelewi..!! Ona sasa unavyojivua nguo wee ngosha mjinga mjinga..!!
 
Back
Top Bottom