Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,680
- 3,832
ulionea wapi?Tangu nijiunge nina week 2 tu ila nilianza kuzurura humu tangu 2024 KABLA sija jiunga
ulionea wapi?Tangu nijiunge nina week 2 tu ila nilianza kuzurura humu tangu 2024 KABLA sija jiunga
kwakwel shule zifunguliwe tuWatoto wa Form 2 wapo likizo hawa.
Mwanetu safari yake sio ndefu ndio maana kajiripua mapemaUmejiunga mwezi uliopita, dah ungekaa usome kwanza ramani ya jf
na unaweza kuta anajiponda ama kujikubali yey mwenyew sijui faida yake ndo ninUtakuta ndio huyohuyo kajianzishia uzi
Stori ni ndefu ila nakumbuka natafutaga hadithi google na matoke yanakuja jf nilipenda mana jf ikiandika itaendelea mwisho kuna next of nikaja hundgua uwaweza kujiungaulionea wapi?
sawaStori ni ndefu ila nakumbuka natafutaga hadithi google na matoke yanakuja jf nilipenda mana jf ikiandika itaendelea mwisho kuna next of nikaja hundgua uwaweza kujiunga