Kama unamjua mtaje?

Kama unamjua mtaje?

Humu jf kuna watu washenzi sana, ukiwa na roho ya kima utapaona pachungu sana..😂
Kuna wa jamaa walikuwa wanapost kujichunga na washenzi kumbe they were right...
 
Makaveli umemuacha? 😹😹
Huyu msukuma ukamdate huko huko Shinyanga usituletee huku town tumechoka kuwavusha barabara za mwendokasi..!! 😹😹😹
We mchawi hata town unakuja na gari ya bosi upunguze matumizi na kubakwa njiani unajifanya lomolomo ka mwendawazimu😅😂
 
Back
Top Bottom