Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,680
- 54,500
Oooh sawasawaIla haya yoote ni matokeo ya kupatikana kwa Internet kirahisi
Njoo kule tunapo kutana wakati wote..☺️
Oooh sawasawaIla haya yoote ni matokeo ya kupatikana kwa Internet kirahisi
Njoo kule tunapo kutana wakati wote..☺️
Kuna wakunificha basi? hawa kina kasongo wenyewe wa siku hizi wanategea ukae kizembe wao ndio waje kujificha kwako!Sis Jo mi mzima..!! 😍
Nani anakuficha mpk huonekani?
Mental caseKama kawaida!atakuja na Ile I'd yake ya de Gunner
Wee kumbe ulitaka nije pm ukajua ni mimi 😹😹😹Njoo DM nitakudhalilishia ID yako popular
Ungeenda ukalichune pesa za mauzo ya ng’ombe..!! Wasukuma washamba sana 😹😹😹Kama kweli nitaje
Sasa nisiseme ukwelii,Nikisema wasukuma mataahira unalalamika 😹😹
Wewe km unataka kujua parody langu sema nikwambie..!!
Kwa hiyo ana hela za ng'ombe au madini?walah sikujua kama ni msukuma ningekimbia chap PMUngeenda ukalichune pesa za mauzo ya ng’ombe..!! Wasukuma washamba sana 😹😹😹
Kumbe kwao ni Chuga?Sasa nisiseme ukwelii,
Nani asiye jua hiyo ni ID yako winga pori uliyezamia jiji wewe?
Huna jipya kazi kulia lia maisha magumu, Kwendraa uko uchugani ukaendelee kula mirungi
Wanaume wa sasa hivi kina Yahya tupu ukikaa vibaya anahamia kwako..!! 😹Kuna wakunificha basi? hawa kina kasongo wenyewe wa siku hizi wanategea ukae kizembe wao ndio waje kujificha kwako!
🤣🤣🤣sisi ni ndugu moja wazaramo wa mwanalumango usichanganye madawaNi wewe tu umevaa uhusika wenge ego iliyo neemeka kidogo.. Wala msinitishe
Hebu ongea kilugha nijue🤣🤣🤣sisi ni ndugu moja wazaramo wa mwanalumango usichanganye madawa