hautakufaa mkuu ...
joke...labda utafute super glue na vinywele kisha ugandishie ..
mtu anaetaKa kuondoa kipara bs hatojali muwasho
Mimi changu kama cha Lais
hhhh vp mkuu
hajasema RAIS MKUU...KASEMA LAIS
MONA HUMUELEWI LAKINII???
SekafaAta wcb ina rais, rais gani unaemkusudia hapo
Sekafa
Paka sasa
Dozi kwa siku au wiki inakuaje???mtu anaetaKa kuondoa kipara bs hatojali muwasho
kitunguu cha kawaida kinakubalika kweli?Naam kama uzi innavojieleza...vijana wengi wamekuwa wakinyemelewa na vipara(kupotea kwa nywele kichwani)hii sijui inatokana na nini ila utashangaa kijana unamuona anakuja kwa mbaali kichwa kinang'aa kabisa ..
sasa ukitaka kuzikuza nywele ambazo zinapotea kichwani fanya hivi
chukua kitunguu swaumu au kitunguu maji kisha fanya ufanyavyo upate yale maji yake then paka ile sehemu ambayo nywele zinapotea .
baada ya mda tu utaona zinanawiri kabisa.
NB:..hii ni kwa wale wenye kunyonyoka na nywele ,sio wewe miaka nenda rudi upara upo kisha wataka hii..