Kama unajua kipara kinakunyemelea fanya hivi

mkuu hvyo vitunguu haviwashi...na nivipi kuhusu MTU ambaye ameshaanza kuwa nahicho kipara
hata kama vinawasha si ni dawa mkuu..

ila hawiwashi na kuhusu mtu alokua na vipara tayari sijui kama itamsaidia au laa..
 
sababu-za-upala2.jpg
 
Naam kama uzi innavojieleza...vijana wengi wamekuwa wakinyemelewa na vipara(kupotea kwa nywele kichwani)hii sijui inatokana na nini ila utashangaa kijana unamuona anakuja kwa mbaali kichwa kinang'aa kabisa ..

sasa ukitaka kuzikuza nywele ambazo zinapotea kichwani fanya hivi

chukua kitunguu swaumu au kitunguu maji kisha fanya ufanyavyo upate yale maji yake then paka ile sehemu ambayo nywele zinapotea .

baada ya mda tu utaona zinanawiri kabisa.

NB:..hii ni kwa wale wenye kunyonyoka na nywele ,sio wewe miaka nenda rudi upara upo kisha wataka hii..
kitunguu cha kawaida kinakubalika kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom