mh! ww ni ke?Mkuu ukiwa na mke mzuri hata usipokua shifti watu wanakupigia kama kawaida cha muhim usifatilie sana haya mambo
ndio mkuu ujue wewe unavyopiga wake wa wenzako na wewe lazima upigiwe mfumo uko hivyomh! ww ni ke?
Na wewe kama ni mke wa mtu au utakuja kuwa mke wa mtu, Je, ukitongozwa utakubali kubonyezwa kizenji? Tupe ukweli wako dada.ndio mkuu ujue wewe unavyopiga wake wa wenzako na wewe lazima upigiwe mfumo uko hivyo
Hihihihi mwanamke anaweza kufanya wakati wowoteNawapa Tahadhari Mnaofanya Kazi Za Shift Haswa Shift Ile Ya Usiku Kama Umeoa Juakuwa Nyuma Huku Watu Wanabofya Kizenji Mkeo,nayasema Haya Kwakuwa Nina Uzoefu Na Haya Mambo
Tatizo unaongelea watu waliooa wanawake makahaba. Kama mwanamke alieolewa anajiheshimu hawezi kufanya huo ujinga hata kidogo. Bahati mbaya sana taarifa mbaya siku hizi ni nyingi kuliko mambo mazuri yaliyotuzunguka. Tukiacha ubinafsi na kuona hawa wanawake tunaowazungumzia kwa namna hasi kuwa ni dada zetu, mama zetu, wadogo zetu, mashemeji zetu na hata ndugu/jamaa zetu ambao wanastahili heshima, tusingekuwa tanaanzia thread kama hizi.Nawapa Tahadhari Mnaofanya Kazi Za Shift Haswa Shift Ile Ya Usiku Kama Umeoa Juakuwa Nyuma Huku Watu Wanabofya Kizenji Mkeo,nayasema Haya Kwakuwa Nina Uzoefu Na Haya Mambo
Itakuwa kubonyezewaUzoefu wa kubonyezewa au kubonyezaa?
Mwanamke Alale Usiku Kucha Peke YakeImagine wewe ni mtangazaji unafanya kazi kituo cha redio halafu unaingia saa sita usiku mpaka saa kumi na mbili asubuhi,yani watu watakuwa wanakubonyezea huku wakiwa wanakusikiliza ukitangaza.