Kama una elimu juu ya malaika pitia hapa!

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
1. Je malaika wapo wakike na wakiume?

2. Je kama wapo wa kike na kiume huzaliana?

3. Je wanaweza kuzaliana na binadamu?

4.kama wapo wa kiume tu kwa nini hakuna wanaume wanaitwa malaika au angel mitaani

5. Kama ni wanawake tu vipi idadi yao huongezeka vilevile kama ni wanaume tu?

Cc ,mshara Jr,kilanga
 
Malaika ni roho, hana jinsia ila anaweza kubadilika katika umbile lolote lile (Jinsia)
Jinsia zipo kwa viumbe wenye mwili
  • Yesu ni Roho, ila wakati anakuja duniani alivaa umbile la mwanadamu mwenye jinsia ya kiume ili kutimiliza maandiko.
  • Malaika 200 walipotamani wanadamu wa jinsia ya kike hivyo walivaa mwili wa kiume na kuja duniani kutekeleza dhamira yao Ovu (Ref. Mwanzo 6)
Roho haina jinsia ila mwili ndio una junsia hivyo basi mimi na ww kwakua tutakufa kisha roho zetu zitafufuliwa basi tutakua hatuna jinsia maana Mungu anakutambua kwa Roho sio jinsia yet He saying all Human are equal..Tutakua hatuna jinsia
Cc
safuher
FaizaFoxy JIDONDOFILA
 
Wanefili walipatikanaje?
 
Wanefili walipatikanaje?
Baada ya roho zile kuvaa umbile la mwanadamu they made a sex with Pure Humosapiens breed. The kilichotokea Ni kuzaliwa kwa Offspring ambao si pure Humanoid Breed.. mixed Humanoid genes with Angeles.
The Offspring known as Nephritis (?)
 
Majibu yako vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Je malaika wapo wakike na wakiume?

2. Je kama wapo wa kike na kiume huzaliana?

3. Je wanaweza kuzaliana na binadamu?

4.kama wapo wa kiume tu kwa nini hakuna wanaume wanaitwa malaika au angel mitaani

5. Kama ni wanawake tu vipi idadi yao huongezeka vilevile kama ni wanaume tu?

Cc ,mshara Jr,kilanga
Jibu No. 4: Angel Di Maria (PSG)
 
Wanefili walipatikanaje?
Mcha Mungu akizaa na mpagani mtoto atakayezaliwa huitwa mnefili.Wanefili walikuwa Watoto wa wazazi wapagani na wacha Mungu .Wacha Mungu walijulikana Enzi hizo Kama Wana wa miungu.Malaika hawana Uwezo wa kuzaa
 
Malaika ni roho, hana jinsia ila anaweza kubadilika katika umbile lolote lile (Jinsia)
Jinsia zipo kwa viumbe wenye mwili
  • Yesu ni Roho, ila wakati anakuja duniani alivaa umbile la mwanadamu mwenye jinsia ya kiume ili kutimiliza maandiko.
  • Malaika 200 walipotamani wanadamu wa jinsia ya kike hivyo walivaa mwili wa kiume na kuja duniani kutekeleza dhamira yao Ovu (Ref. Mwanzo 6)
Roho haina jinsia ila mwili ndio una junsia hivyo basi mimi na ww kwakua tutakufa kisha roho zetu zitafufuliwa basi tutakua hatuna jinsia maana Mungu anakutambua kwa Roho sio jinsia yet He saying all Human are equal..Tutakua hatuna jinsia
well said ndio maana tukifika mbinguni kutakuwa hakuna kuoa au kuolewa maana tukatuka roho ..miili YETU YENYE JINSIA TUTAIACHA MAKABURI YA KINONDONI
 
Endeleeni kudanganyana kuhusu mabikra 70..
kwa mujibu wa biblia haya maneno alisema yesu mwenywe kuwa hakuna kuoa au kuolewa huko mahali ...siajua wenzetu wa upande wa pili wanasemaje na sipendi utokee ugomvi kwa comment yang
 
Malaika ni roho, hana jinsia ila anaweza kubadilika katika umbile lolote lile (Jinsia)
Jinsia zipo kwa viumbe wenye mwili
  • Yesu ni Roho, ila wakati anakuja duniani alivaa umbile la mwanadamu mwenye jinsia ya kiume ili kutimiliza maandiko.
  • Malaika 200 walipotamani wanadamu wa jinsia ya kike hivyo walivaa mwili wa kiume na kuja duniani kutekeleza dhamira yao Ovu (Ref. Mwanzo 6)
Roho haina jinsia ila mwili ndio una junsia hivyo basi mimi na ww kwakua tutakufa kisha roho zetu zitafufuliwa basi tutakua hatuna jinsia maana Mungu anakutambua kwa Roho sio jinsia yet He saying all Human are equal..Tutakua hatuna jinsia
Cc
safuher
FaizaFoxy JIDONDOFILA
Hao Malaika 200 ambao hawana jinsia waliovaa umbile la kiume Tamaa ya kimwili wanaipataje hadi waweze kufanya ngono na wanadamu? Nijuavyo mm tamaa huanzia rohoni ikihusishwa na jinsia uliyonayo,kwa mfano mwanaume hupata tamaa ya ngono akimwona mwanamke alieumbika vizuri kwa vigezo anavyovitaka muhusika na kinyume chake..ni ngumu Mwanamke kumtamani mwanamke mwenzake kingono kwa sababu za kimaumbile...sasa hawa Malaika hiyo tamaa ya ngono walipataje ilihali wao ni MaumbileLess??msaada wa kisheria tafadhali..

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom