Kama umri umeenda jiulize hili

Kama umri umeenda jiulize hili

Mpumbavu ndio wewe huna akili hata watu wameamini Tanzania ni nchi ambayo inawasomi ila wakosa akili ndio yako .
Hadi sasa unadhani sina watu humu ndani iwapo nahitaji ndoa sijui mnaakili gani mnazani humu jf kuna mtu wa hadhi yangu??
Au mkitombana nyie humu kupitia mada za kipuuzi ndio mimi .
Au mtu akiweka post yake nikwamba mtu anahitaji wakumpoza achageni
Usengee eti mtakuja kufumuliwa marinda kwa ajili ya akili kama hizi .

Kwanza unawashwa na nini kama. Ntu ameamua jambo lake .
Halafu tatizo lenu ******* kama nyie hamnaga maendeleo maana sio majirani wanawachukia kwa akili zako zakisenge , sio kazini sio kanisani au msikitini yaani una maadui kushinda siku zako zakuishi duniani
Yaani nianzishe mada aje mpumbavu kunitukana nimuache ooooh
 
Yaani kama wewe ni mwanamke hujawahi ambiwa na mwanaume will you marry me ?? Uwe mama wawatoto wangu , huoni kuna tatizo.

18 to 25 hakuna mtu aliyekuja kukuliza 26 to 35 hakuna na 35 to 40 hakuna.

Zaidi ya kuwa mama wawatoto wa mwanaume ambaye sio wako ??
Ni anakuja tu nakuondoka ???
Ila kukaa nope , asilimia kubwa anataja wanawake wengine kwa mambo ya muhimu kama ndoa, mambo ya maendeleo.

Hushangai yaani na umeenda kwa waganga huko na huko ila wewe huonekani wewe unastahili hili hujiulizi .

Unaweza hata kuolewa ila kustahili mazuri popote hakuna .
Tate Mkuu ephen_
Wataalamu hii nini ??
Mchawi mrogaji wa 'future' za wasichana wengi ni tabia zao wenyewe.

Tabia simple ambazo hazihitaji gharama, humjenga na kumpa thamani kubwa sana msichana akiziishi.

Msichana aliyetulia, bila kujali sura ama haiba yake, ana nafasi kubwa sana katika chaguo la wanaume wahitaji wa dhati wa mke.

Mdomo mdomo, uhuni huni, ujuaji juaji, wanaune tabia hizo wanaziogopa kama ukoma na msichana akiwa nazo 'kuozea' yumbani ni jambo la kawaida sana.
 
Shida ipo kubwa-tena kubwa sana.
1. Ke katika umri 18-25 wanakuwa kama Misukule fulani iv. Wanasema uongo mno na ni walaghai sana. Hupenda "kuwalamba" wenyewe wanaita kupiga vizinga wanaume wanaojaribu kuongea nao iwe ni kuwatongoza au kujisikia ufahari tu kuongea na Ke. Utakuta Ke. haoneshi ushirikiano -not welcomming. Halafu wanajisahau Umri unasonga mbele. Wakifika 26- 35 ndipo wanazinduka kwa kuona wenzao wanapata wenza - wanaolewa kihalali.
Hapo wakifika 26-35 wanadhani kwa kugawa hovyo ndimo watakakopata wenza. Lakini wanajikuta wanatumika tu na hakuna wa kuwaoa zaidi ya -unaolewa jioni asubuhi unapewa talaka. Halafu wanazomeana -hilo limeachika tena.
Halafu ikifika 35-40 ndipo wanaona exepiration date imekaribia i.e. menopause. Hapo ndo inakuwa "First come First saved" Hawaangalii tena kuna cha dini, kuna wazazi etc. Ni mendo kasi Ndoani chap' iwe halali au sio halali (Halali = imepata baraka)
NB: Wanawake wengi katika mukhtadha huu hawafundishiki. Wanawaona wenzao wanayopitia lakini hawajifunzi kitu. Wanaona jinsi Wanaume wanavyoendekeza tamaa za kimwili kingono lakini hawajiepushi nazo. Wengi hudhani na wamefikia hatua eti kugawa kote kote na vimitindo vya eti kukatika kiuno ndo mambo ya kileo - jinga kabisa; wanasahau kabisa mbususu ni ile-ile tokea enzi za Adamu na Eva na haijawahi kujaa hata siku moja.
Sikatai vigezo na masharti ni muhimu kuzingatiwa ila sio kwa ulegezwaji tunaoenda nao kwa sasa.
(Samahani kwa aliyekwazika kwa haya nilio sema)
Kukwazika tena!

Kwenye kusema ukweli hakutakiwi kumumunya maneno.

Piga makavu hivyo hivyo akili ziwakae sawa.

Tatizo, kusikia kwa kenge hadi damu zimtoke masikioni.
 
Back
Top Bottom