Yaani kama wewe ni mwanamke hujawahi ambiwa na mwanaume will you marry me ?? Uwe mama wawatoto wangu , huoni kuna tatizo.
18 to 25 hakuna mtu aliyekuja kukuliza 26 to 35 hakuna na 35 to 40 hakuna.
Zaidi ya kuwa mama wawatoto wa mwanaume ambaye sio wako ??
Ni anakuja tu nakuondoka ???
Ila kukaa nope , asilimia kubwa anataja wanawake wengine kwa mambo ya muhimu kama ndoa, mambo ya maendeleo.
Hushangai yaani na umeenda kwa waganga huko na huko ila wewe huonekani wewe unastahili hili hujiulizi .
Unaweza hata kuolewa ila kustahili mazuri popote hakuna .
Tate Mkuu ephen_
Wataalamu hii nini ??