Kama umri umeenda jiulize hili

Kama umri umeenda jiulize hili

Yaani kama wewe ni mwanamke hujawahi ambiwa na mwanaume will you marry me ?? Uwe mama wawatoto wangu , huoni kuna tatizo.
18 to 25 hakuna mtu aliyekuja kukuliza .
26 to 35 hakuna na 35 to 40 hakuna.
Zaidi ya kuwa mama wawatoto wa mwanaume ambaye sio wako ??
Ni anakuja tu nakuondoka ???
Ila kukaa nope , asilimia kubwa anataja wanawake wengine kwa mambo ya muhimu kama ndoa, mambo ya maendeleo.

Hushangai yaani na umeenda kwa waganga huko na huko ila wewe huonekani wewe unastahili hili hujiulizi .
Unaweza hata kuolewa ila kustahili mazuri popote hakuna .
Tate Mkuu ephen_
Wataalamu hii nini ??
Kama hujaolewa njoo ni kuoe!

Huu mtiririko umenishtua sana!
 
Halafu hii tabia ya waname kujiona kama matikiti sokoni muache. Na tabia ya ku spin narrative.

Mwanamke umfuate mwenyewe, umpige sound weee, halafu baadaye unajifanya wewe ndo ulisakwa! !

Au umeamua kusaliti halafu unajifanya ulichukuliwa! ! ! Uliibiwa! ! !

The level of foolishness one has to drop to to deal with a man who thinks like this is just impossible for me! !
 
Back
Top Bottom