Kama umri umeenda jiulize hili

Kama umri umeenda jiulize hili

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
5,517
Reaction score
10,675
Yaani kama wewe ni mwanamke hujawahi ambiwa na mwanaume will you marry me ?? Uwe mama wawatoto wangu , huoni kuna tatizo.

18 to 25 hakuna mtu aliyekuja kukuliza 26 to 35 hakuna na 35 to 40 hakuna.

Zaidi ya kuwa mama wawatoto wa mwanaume ambaye sio wako ??
Ni anakuja tu nakuondoka ???
Ila kukaa nope , asilimia kubwa anataja wanawake wengine kwa mambo ya muhimu kama ndoa, mambo ya maendeleo.

Hushangai yaani na umeenda kwa waganga huko na huko ila wewe huonekani wewe unastahili hili hujiulizi .

Unaweza hata kuolewa ila kustahili mazuri popote hakuna .
Tate Mkuu ephen_
Wataalamu hii nini ??
 
Yaani kama wewe ni mwanamke hujawahi ambiwa na mwanaume will you marry me ?? Uwe mama wawatoto wangu , huoni kuna tatizo.
18 to 25 hakuna mtu aliyekuja kukuliza .
26 to 35 hakuna na 35 to 40 hakuna.
Zaidi ya kuwa mama wawatoto wa mwanaume ambaye sio wako ??
Ni anakuja tu nakuondoka ???
Ila kukaa nope , asilimia kubwa anataja wanawake wengine kwa mambo ya muhimu kama ndoa, mambo ya maendeleo.

Hushangai yaani na umeenda kwa waganga huko na huko ila wewe huonekani wewe unastahili hili hujiulizi .
Unaweza hata kuolewa ila kustahili mazuri popote hakuna .
Tate Mkuu ephen_
Wataalamu hii nini ??

Ww umeolewa?.
 
aaagh. Nimeamua kutokutaka kujua una maanisha nn.


Likija suala la ndoa. Wote wanaume kwa wanawake wanakuwa makini.

Hasa hasa za kwetu Wakristo.
Ila umri unaenda mtu anatakiwa kuforce vitu sijui niongeeje mimi kwa sasa nipo njia panda sijui kama nipo single au sipo au ni mke wa mtu au lah
 
Back
Top Bottom