RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,568
- 9,008
Isaya 4:1Kila mwanamke ana namna yake ya kufosi siwezi kufundisha.
wewe ndio unaona wametumika, lakini kiuhalisia mwanamke anakuwa kashakupigia hesabu zimegoma huko mbele hakuoni kabisa kwako kiufupi 2x2x2x2x2 inakosa jibu.
Watakuepo wanawake Saba,wakisema ,tutakula na kujivika wenyewe tunaomba kuitwa kwa jina lako!!
Fungueni mioyo tuwanusuri hata Kwa mitara!
Wanaume tunashambuliwa kila kona!wengi wameshindwa kulinda hata migongo!!
Hali inatisha!!