T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,107
- 30,529
Hahahahahahahahahaha! Bro you make my day!
Hahahaha!!Hehehehe!!kho kho kho!!hizo style zote nimepitia mkuu,yakusimama kwenye kona ya ukuta zen unabinuka kidogo wowo.....acha tu yaaaaaaaaani!!
Hahahahahahahahahaha! Bro you make my day!
Haya Mambo Huwezi Kuwa Umepitia kama Umezaliwa Baada ya Mwaka 90...
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetesakrin
5. Kupamba kadi na pamba sebuleni
6. Ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper
7. Kunyolewa na mkasi
8. Kufunga pesa kwenye leso au pindo la kanga
9. Wavulana Kuvaa Nguo ya ndani aina moja nchi nzima VIP, usiombe ikakatika ukakuta imebana Kifua.
10. Ku rewind kanda kwa peni
11. Nchi nzima Kuangalia Movie ya Commando John, Double Impact, Rambo na Bluce Lee..
12. Watoto Wa Mtaa Mzima Kufahamiana sababu ya kucheza Wote Jioni Kombolela na Kibaba..
13. Kuunguzana na tunda ya Ubuyu baada ya kuisugua chini
14. Kukata ndala, ati ni kifutio
15. Kunyolewa msalaba shuleni kisa nywele ndefu
16. Kuweka Vibox box kwenye Shati la shule Mgongoni..
17. Kuweka Shati la Shule "Blue" eti liwe zuri.
18. Ubitoz Ulikuwa ni Kusimamisha Kora Ya Shati.
19. Ukiandika Barua kwa Umpendae lazima uchore moyo na Mkuki na lazima upulizie Pafyumu ya "YU".
20. Hata kama Mlikuwa mmegombana January lakini Mtu anakuambia "Utaipata Siku Ya Kufunga Shule".
Je wewe unakumbuka nini??
[*=1]Choo ya shule haikuwa na maji kwa ajili ya mtawazo, badala yake unatembea na gunzi mfukoni, au majani ukikosa vyote unatazama kulia na kushoto hamna mtu unakaa ardhini unasota harakaharaka au ukizidiwa kwenye kona ya ukuta then unatimua,
[*=1]Kutumia u.p.u.p.u kukomesha wanaotumia kuta na sakafu kama toilet paper mbadala, akiingia darasani utatambua tu kuwa huyu kakiuka kanuni za mtu ni afya, kiti kinakuwa hakikaliki
sema kwa huku kijijii kwenu dsm mambo hayakuwepo kabisa
Ukikuta pahala panajengwa kisha kuna rundo la amchanga eti lazima upite juu ya Mchanga kama vile unapanda Mlima.
sema kwa huku kijijii kwenu dsm mambo hayakuwepo kabisa
45...Bakora kama hukwenda zamu wakati wa likizo
46...Bila mfagio na kidumu cha maji huhesabu Namba hata kama umewahi SULUHU ni kwenda fasta shimoni kuokota 'chelewa' azima kidumu cha aliehesabu mpango mzima
46...Ukivaa raba yenye lebo DH utakoma madongo eti 'dingi hana uwezo'
48...Kuwabebea manati vilanja wanoko,atakoma wakati wa kupalia kahawa au kulima mnajikusanya mlipua manati anakaa kati fyuu!
49...Kama darasa lenu dirisha halijabomoka nyie darasa la washamba
50...siku ya kumaliza mitihani LY lazima mle ubwabwa,mkwangue madeski...
51...Usiombe awe anakuja kiongozi wa serikali full mazoezi ya kwaya na utamaduni ili mkamwimbie...NAKUMBUKA "Karibu saana mbunge wetu naibu waziri Mwambulukutu" nadhani ni balozi wa tz s/africa...AU wanautamaduni tunaingiaa mamaaa tumetoka mbali Msalilwa na Msalilwa....
52...Wanuka chupi yaani vikojozi full kuzomewa
53...Yanapigwa makofi Heeshimaa toa shikaaamooo mwaaalimu,mwenzio wa deksi la nyuma ashakutegea peni nyuma,unamfingia ngoja atoke ticha
54...Nakumbuka 'wanoko' waliokuwa wataalamu wa kutafuta stiki/bakora nzuri, basi maticha wapenda fimbo watamtuma kila siku halafu yeye hachapwi
55..._Tuligawiwa Madaftari ya 'HALIUZWI NI KWA NATUMIZI YA SHULE TU'
56...Pooh
Ili mwalimu au Mshua akusahau una cross vidole.....