Kama umezaliwa 90's usipite hapa maana huna experience

Kama umezaliwa 90's usipite hapa maana huna experience

sasa ole wako ukutane na mteremko
 
Attachments

  • 1410346752866.jpg
    1410346752866.jpg
    17.1 KB · Views: 251
Kucheza munyo (tobo), kifimbo cheza, msingi bomoa, beto(kukwapua), ngumi nyoma n.k
 
  • [*=1]Choo ya shule haikuwa na maji kwa ajili ya mtawazo, badala yake unatembea na gunzi mfukoni, au majani ukikosa vyote unatazama kulia na kushoto hamna mtu unakaa ardhini unasota harakaharaka au ukizidiwa kwenye kona ya ukuta then unatimua,

  • [*=1]Kutumia u.p.u.p.u kukomesha wanaotumia kuta na sakafu kama toilet paper mbadala, akiingia darasani utatambua tu kuwa huyu kakiuka kanuni za mtu ni afya, kiti kinakuwa hakikaliki

Daaah ----- aisee ni bidhaa adim sana. Hakya nani ukitaka uzimie kwa kujikuna mwenzio akufanyishie kwa kukuwekea ----- lazima utajuta kuzaliwa
 
alafu ilikuwa lazima ujibandike jina la utani la mchezafilamu wa nje mara ujiite wangyu miluzi au komandoo kipensi nk
 
Kuna mchezo unaitwa xbp unaandika sehemu yoyote ya mwil wakikuuliza kama huna unapigwa mpaka bc
 
  • [*=1]Choo ya shule haikuwa na maji kwa ajili ya mtawazo, badala yake unatembea na gunzi mfukoni, au majani ukikosa vyote unatazama kulia na kushoto hamna mtu unakaa ardhini unasota harakaharaka au ukizidiwa kwenye kona ya ukuta then unatimua,

  • [*=1]Kutumia u.p.u.p.u kukomesha wanaotumia kuta na sakafu kama toilet paper mbadala, akiingia darasani utatambua tu kuwa huyu kakiuka kanuni za mtu ni afya, kiti kinakuwa hakikaliki

Hahahahahahahahahaha! Bro you make my day!
 
Hapo kwnye barua ya umpendae unamuandikia nje kabisa kiss before open
 
darasani kama ticha hayupo lazima mcheze mdako na stori nyingi za picha la jana la chekinorisi

Kulikuwa na mshkaji anaitwa Yunus Jebaa akili halina sijui yupo wapi huyu alikuwa anakaa Upanga kwao kuna Tv watu walikuwa wanamzungukajee asimulie Bruce Lee...Mara no treat no surrender sijui au American Ninja
 
Hii no treat no surrender nilikua naiita komando kipensi
 
Yaan ujinga wenu mliokuwa mnafanya ndo unatunyima tusiuone 😀😀😀:what:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom