Na anajua hajui ndio maana hana amani kutwa kuulizauliza,kama ana uhakika wa akijuacho(Imani) mbona hatulii kwa kuridhika, hajaridhika na ndio maana anauliziaulizia habari za imani
Hahahahaenzi hizo nikiwa na age ya 6, nilitumwa kununua maziwa afu nje nilishuhudia nguvu ya giza nene balaa, nilirudi home nikiwa na jagi lenye ramani ya maziwa tuu mana ckumbuki yalimwagika muda gani.
Umenkumbusha mbali nilitaka niaxe kazi ya ukaguz mkuuWANAODHANI HAKUNA UCHAWI , HAYAJAWAKUTA;
Miaka michache iliyopita nilikwenda RUKWA wilaya ya Nkasi nikiongozana na wenzangu tukiwa na watu Dr Livingstone Expedition waliokuwa wanafuatikia njia aliyotumia Dr Livingston toka Ujiji Kigoma hadi Zambia alipopata umauti.
Tulupofika kijiji kimoja kinaitwa Ntuchi (Nakikumbuka kwa tukio hili) tulikutana na kisa cha kustaajabisha kilichowakuta Maafisa toka Wizara ya Elimu Dsm waliokwenda kukagua shule za Sekondari Nyanda za juu na walipofika kwenye shule hiyo wakakutana na malalamiko ya Walimu juu ya vitendo vya kishirikina wanavyofanyiwa na wenyeji.
Maafisa wale wakawaita viongozi wa kijiji na wazee maarufu kuwakemea sana huku wakitishia kuwaondoa walimu wote endapo vitendo hivyo vitajirudia. Baada ya kumaliza kukemea jambo hilo wakiwa ofisini, walipotoka nje wakakuta gari lao halina upepo kwenye tairi zote 4, wakabaki wanashangaa. Walimuuliza dereva kimetokea nini naye akabaki anashangaa maana hajaona mtu yeyote akitoa upepo.
Walimwita fundi aangalie lakini kila alipojaribu kujaza upepo haukuingia. Walilazimika kuita baadhi ya wazee wakawaomba radhi na ghafla tairi zikawa na upepo kama awali. Waliapa kutorudi mkoa ule na sisi tukaendelea na safari yetu huku tukiwa na hofu kubwa.
Maafisa wale kama wamo humu JF watashuhudia tukio hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna rafiki etu mmoja walikuwa na party koko beach,sasa yeye ni mnywaji wa pombe zote.sasa akiwa coco beach akaja muhudumu Γ kamletea soda,jamaa akamfokea wewe mimi nimeagiza kitu fulaΓ±i na sio soda.yule mwanamke ambaye ni muhudumu Γ kΓ msogelea na kumfungulia huku akimwΓ mbia utΓ kunywa soda.
Muda huo ni yeye ndie anayemuona muhudumu wale wenΕΊie hawamuoni.
Baada ya muda ndugu zake wanamuona kaka yao Γ kiogelea kweΓ±da kati kati ya bahari,sasa wao wanamshangaa si ameagiza kinywΓ ji na kuogelea hajui anaogeleaje kufika kule (maji mengi) .Wakainuka na kuaΓ±z kumkimbilia huku wakimwita jina lake jamaa hakugeuka wakamwita sana hakugeuka mara Γ ka wapotea baharini.
POLISI na familia ΕΊikamtafuta kando wa mbambao siku tatu jΓ maaa hakuonekana hai wala mΓ iti.siku ya tatu usiku ndio jamaa kaja mwenyewe anajokokota hajiwezi na kufika nchi kavu akadondoka.wΓ tu kumuokota muhimbili.
Alipopona ndio akatusimulia kuwΓ baada ya kukataa soda yule mwanamke alikasirika sana na akamchukua na kwenda nae baharini Γ§hini kabisa kuna mwamba ambao walikuwa wΓ kibishana muda wote .yule mwanamke alikuwa anamwambia kuwa anampenda na jamaa alikuwa na msimamo wa kumkataa na alivutwa kutaka kuelekea chini ya mwamba zaidi ndio jamaa alijizatiti ende zaidi na wamepambana muda wote mwishowe yule mwanamke Γ ka mwambia una bahati mizimu ta kwenu ina nguvu na imekulinda.
akaçhwa ,jamà a akawa ana hangaika kupanda ule mwamba wa mawe maana alikuwa à naona njia ya kutoka shida ni kupanda amehangaika kupanda juu wabmwamba wa jiwe mpaka akatoka.ndio kutoka amepoteza fahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hueleweki pumba tupu weka story axa poyoyoNilichogundua humu
Kuna watu fuata upepo, anaangalia fulani kasemaje na yeye aseme
Pili wengine bado ni watoto hawajakutana na masahibu
Tatu, kuna wengine wamekalilishwa neno CHAI,
basi kila coment wao utasikia ... Hio ni chai...
Wengine akili ya sisimizi wanahoji mtoa post eti inakuwaje kipindi hicho alikuwa anafundisha halafu miaka kadhaa mbele yuko field bila kujua Elimu haina mwisho.
Hawa nao wanajifanya kuhoji ili nawao waonekane wamo kumbe hawamo
Na mwisho, jamani uchawi upo na mimi nimeshuudia wachawi livi nikiwa mimi, dada yangu na kaka yangu (R.I.P) mida kama saa 5 usiku tukiwa tunamsindikiza dada kwenye uwanja wa mpira na visa vingine ninavyo kama hivi
Nilichokaje walipovuka kwenye mistari ya pundamiliahao mbuzi wanaojichunga huwa wabaya sana, usiwaguse, mbuzi anafunguliwa kwenye banda tu anajua mwenyewe pa kwenda, mbuzi kabla hajavuka barabara kwanza anageuka kulia na kushoto, ukiwaona waache!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wachaga washawahi kushika dini maana kule kwao wanapiga mazongo mpaka nyama na hio ni miaka zaidi ya 25 nyumaIlikua zamani wakati wachaga bado walikua wanashika dini. Wale wa Magomeni mwembe chai unewaona siku hizi?
Umenikumbusha nyumba moja hivi Tegeta mwaka flani hivi masharti ya mwenye nyumba yalikuwa kama hayo halafu yule mzee alikuwa amepangisha nyumba nzima halafu yeye anaishi chumba kimoja cha uwani karibu na choo tena chumba chake hakuna umeme.Wakuu, mimi huwa nawashangaa sana watu wanaokana uwepo wa nguvu za giza (uchawi na ushirikina). Nadhani ni kwavile hawajawahi kukumbana na ushirikina. Na Mshana Jr huwa anapata wakati mgumu sana kuwaelewesha watu kuhusu mambo hayo.
Si ajabu hata comments tuzopandisha kwenye uzi huu wengine watafikiri ni story za kunogeshea baraza, la hasha! Mimi nina visa kadhaa nilivyoshuhudia:
1.Wakati nikiishi mkoani Mwanza, alikokuwa anafanyia kazi Mzee wangu, na nikiwa na miaka 11 tu, kuna siku wazazi wangu wakiwa wamelala huku wamefunga milango na madirisha yote, walikuja kugutuka kutoka usingizini mishale ya saa 9 usiku na kukuta madirisha yote ya chumbani kwao na mlango yamefunguliwa. Na kwavile kulikuwa na mbalamwezi, waliweza kuwaona bundi 4 wamesimama katika madirisha 2 ya chumbani huku wakiwatazama wazazi wangu waliolala kitandani. Baba alivaa ujasiri wa kuwatimua, ila baada ya kuamka watu 4 ndani ya familia tuliamka tukiwa tumechanjwa chale mwili mzima. Ilibidi familia iingie 'gereji' ndo mambo yakawa shwari.
2.Mwaka 1993 tukiwa tulipanga nyumba moja kule Tandika Mabatini, Dar es Salaam. Mwenye nyumba alitupa masharti kadhaa, kubwa kabisa likiwa ni katazo la kuingia nyumbani baada ya saa 6 usiku, au kwenda chooni/bafuni baada ya masaa hayo. Tulijitahidi kutii! Siku moja, mpangaji mwenzetu mmoja alikiuka masharti akaenda msalani saa 6 na ushee, tulisikia kelele za kuomba msaada, lakini hakuna aliyethubutu kwenda kutoa msaada. Kesho yake alfajiri tulimkuta jamaa bado ameanguka chooni. Mwenye nyumba alimfokea kwa 'kuyataka mwenyewe'. Ilibidi jamaa ahame nyumba baada ya siku 4. Ilikuja kubainika kuwa, Mwenye nyumba alikuwa anafuga majini na huwa anayafungulia masaa hayo yanaingia kazini, hivyo jamaa alikumbana nayo yakamshughulikia. Sisi nasi kwa uoga ilibidi tuhame kabla kodi yetu haijaisha.
3.Muda haunitoshi kusimulia nilivyokutana na wachawi ' live' mara mbili, wakati nikiishi huko Kanda ya Ziwa.
Basi kama ni hivyo issue hii ina theories nyingi.Inasemekana kuwa baada ya H/ W mpya ya Msalala kuundwa ulitokea mvutano mkali wa wapi pawe makao makuu kati ya Ntobo na Segese nadhani, ni katika pilika hizo kamati za ufundi zilihusishwa, inasemekana vijiji vyote viwili vilikuwa na kamati za ufundi, kijiji kimojawapo kilipotupiwa hilo kombora katika jitihada za kukwepa ndio yakatokea hayo maafa, lengo lilikuwa ku-puch kombora na kulituma Ziwa Victoria hili lipotelee ziwani, kutokana na umbali likawakumba watu wa Mwakata.Kama mtakimbuka ile mvua ya mawe kahama march 2015 ngoja niwape kisa chake.
Mvua zilikuwa adimu sana basi wananzengo wakamfuata mganga mmoja alokuwa ana tuhma za kuzuia mvua
Basi watu wakamuhoji akakataa tuhuma hizo. Jamaa hawajaelewa wakampiga hadi kumuua.
Wakati anakufa alisema nakuta lkn mtaona.
Waloelewa walianza kuhama walokaza shingo wakakomaa .....
Mvua ilipoanza wakasema tumemuua yule alikuwa anazuia mvua....lkn ikaja kuzidi....na mawe juu. Iliua watu na mifugo na uharibifu mkubwa ulotokea.
Kiranga usi comment hapa
Wewe demu acha kunishobokea mm nimeoa tayari
Jirani yangu kuna siku alikuwa ananisimulia alikuwa anasafiri na broo wake usiku walikuwa kwenye gari yao. Safari ilivyokuwa inachanganya mbele wakamuona mtu kwa mbali kama anasimamisha gari. Kumuangalia vizuri kumbe ni mwanamke, halafu ni mrembo tu! Dogo akamwambia bro huyu mwanamke atakuwa jini tu haiwezekani usiku huu wote asimame njiani peke yake, tumpite tu.
Brother yake akamwambia usihofu. Akasimamisha gari. Akamwambie ndio mrembo! Yule mwanamke akamwambia naombeni lift nimekwama huu usiku naelekea eneo fulani. Brother yake akamwambia yule mwanamke ingia. Safari inachanja mbuga brother yake akaanza kumwambia yule mwanamke. Inakuaje unatusumbua unasimamisha gari wakati eneo unalotaka kwenda unaouwezo wa kufika?
Yule mwanamke akajibu sielewi unachozungumza. Brother yake akamwambia yule mwanamke, usi' panic! Sisi tuliokupa lift tunajua kwamba wewe ni jini! Ndiyo tunakuuliza kwa nini umetusumbua kusimamisha gari wakati kufika eneo unalotaka uwezo huo unao wewe kama wewe?
Yule mwanamke akawaambia simamisheni gari! Majamaa wakasimamisha. Wakasikia mlango wa siti ya nyuma unafunguliwa. Kugeuka yule mwanamke hawamuoni tena! Brother yake akasema, unatusumbua wakati uwezo wa kufika unao. Wakaendelea na safari.
Nikamuuliza sa mbona huyo jini katumia style ya zamani sana? Jamaa akanijibu, majini ni wapumbavu wapumbavu tu.
Nitakuja kwa kweli ππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈ
uende ukiwa kawaida mkuu bila kua na sapoti ya kilevi chochote ili uone live kama vipo au ni maneno tu usisahau mrejesho .Mi nataka siku moja nipige tungi niwashe na kitu Cha R alafu saa sita usiku niende pale katikati ya makaburi ya kaloleni nikae kwa kutulia
Nione nitaona Nini Manake hizi stories nazisikiag tu oh Mara majitu,mashetani,vibwengu blah blah nyingi nataka nione live alafu nikikutana nalo niliulize kwanini wanatisha na kuua watu
Mbona nimeandika mwaka hapo? Hebu Google kwa msaadaUongo. Mwaka gani huo?
Gamboshi iko mpakani mwa magu na bariadi ila kiutawala iko bariadi,hiyo ya sengerema sijawahi isikiaGamboshi Kama gamboshi ipo sengerema yenyewe yenyewe ,lakini pia gamboshi ndogo zipo nikipata muda nitaandika zlipo.
Sent using Jamii Forums mobile app