Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Sio unavyoamini ww basi waafrika waamini.
Na ndo maana dunia nzima matajiri wachache masikini wa kutosha.
Utajiri upo kwa waaminio tuu sio wasomi.
Na siku yakikukuta ndo utajua why kuna miungu mingine tofauti na hiyo waliyoileta hao jamaa watengeneza silaha zinazotumia na binaadamu kuua watu
Mimi ni mwafrika huenda kupita wewe.
Najua makaburi wa babu yangu wa 12 hapa hapa Tanzania.

Hio siku ya mimi kujua kuna Mungu mwingine haitofika
Mungu ni mmoja tu.
Mwenye uwezo wote.

We endelea kuamini wachawi. Utapata hasara mwenyewe.
 
Kingine kilwa huko kulikua na kazi ya kukwangua barabara jamaa kakalia greda anapiga kazi akafika mtoto akamwambia babu kanituma anaomba mnunulie sukari,dereva aka mtoa nduki dogo basi baada ya muda akafika mzee pale akamwabia nilimtuma mjukuu wangu nina shida ya sukari dereva akamwabia sina hela mzee akaondoka,dk 0 greda likazima hangaika haliwaki akaita fundi,fundi kufika pale fungua hamna tatizo,washa haliwaki.Fundi akamuuliza dereva hujagombana na mtu kweli hapa?Dereva akamwabia kuna mzee alitaka nimnunulie sukari nika kataa akamwambia mnunulie haraka hili dude sio bovu dereva ikabidi amtafute yule mzee akamuomba mzee sukari sijapata lakini chukua hela hii kanunue mzee kashukiru kurudi kwenye greda washa likawaka.
 
CCM Ni chama chankichawi kiroho!

Na vyama pinzani pia Kwa mujibu was wazee was chama,hao wazee ndio wenye chama.na walianzisha wao!!

Zipo dalili za ukombozi hapo mbele tutapata ccm takatifu inayojali maslahi ya watz na mwenyekiti wake atakua mcha mungu aliewekwa na mungu!!
dalili zipi hizo ndg? Tufumbue tafadhari, kwamaana hawa .....
 
Wacha weeeeee, lichawi na liwakala la Ibilisi linatuset huku JF kuwa hakuna uchawi wala Mungu ili litushughulikie. Hunipati ng'ooooooo
Mimi ni Muumin wa MUNGU MMOJA TU. asie na mfano.
Muweza wa kila kitu.
Mfalme asie na mipaka.
Mwenye kila sifa njema. Na hana kasoro wala hafanani na viumbe wake kwa chochote.
Huyo ndio MLINZI WANGU MKUU.
Wewe kama unaamini wachawi endelea tu lkn hasara utapata wewe zaidi ya hao wachawi.
 
Kingine kilwa huko kulikua na kazi ya kukwangua barabara jamaa kakalia greda anapiga kazi akafika mtoto akamwambia babu kanituma anaomba mnunulie sukari,dereva aka mtoa nduki dogo basi baada ya muda akafika mzee pale akamwabia nilimtuma mjukuu wangu nina shida ya sukari dereva akamwabia sina hela mzee akaondoka,dk 0 greda likazima hangaika haliwaki akaita fundi,fundi kufika pale fungua hamna tatizo,washa haliwaki.Fundi akamuuliza dereva hujagombana na mtu kweli hapa?Dereva akamwabia kuna mzee alitaka nimnunulie sukari nika kataa akamwambia mnunulie haraka hili dude sio bovu dereva ikabidi amtafute yule mzee akamuomba mzee sukari sijapata lakini chukua hela hii kanunue mzee kashukiru kurudi kwenye greda washa likawaka.
Story km hizi zote mnahadithiwa tu.
Nikikwambia umtafute huyo dereva au huyo babu hutoweza hata siku moja maana yake hakuna cha babu wala bibi bali ni Story za kijiweni.
Acheni imani za kijinga.
Ndio maana wengi mnadai mmerogwa kumbe una malaria au utapiamlo.

Pigeni kazi watanzania.
Taifa halihitaji watu wajinga wajinga wanaoamini Bundi na paka mweusi ni nuksi.
Mnarudisha maendeleo ya taifa nyuma
 
CCM Ni chama chankichawi kiroho!

Na vyama pinzani pia Kwa mujibu was wazee was chama,hao wazee ndio wenye chama.na walianzisha wao!!

Zipo dalili za ukombozi hapo mbele tutapata ccm takatifu inayojali maslahi ya watz na mwenyekiti wake atakua mcha mungu aliewekwa na mungu!!
Hakuna kiongozi yyt anaewekwa ktk nafasi hio bila Ruksa ya Mungu.
Hata hao viongozi wabaya Mungu ndio karuhusu wawepo walipo.

Achana na imani za kishirikina.
Wachawi wangekuwa na uwezo wa kumpa mtu cheo leo Africa tungekuwa na marais wa ajabu mno na Dunia isingekalika.

This is 2024. Piga kazi kijana.
Achana na vikao vya kahawa siku nzima. Hakuna faida humo.
 
labda nikupe connection ya fundi tu jamaa fundi amefanikiwa hadi kumpa mmoja wa mawaziri uwaziri ni noma huyo alafu hana tamaa ukifanikiwa ndio unaenda kumshukuru
Sasa we Mtumie ujumbe kuwa hatumtaki makonda serikalini na Tundu Lissy awe Rais. Akifanikiwa Hilo nikute inbox nimjengee Huyo fundi nyumba masaki na wewe ya kwako itakuwa pale mbezi beach.
Unasemaje?
 
naomba connection hiyo na mimi
Sasa we fanya utume kwanza km laki 1 ya kusafisha njia.
Kisha tunahitaji ng'ombe wa mabaka meusi na meupe wale wa kisasa.
Asipungue kilo 200 uzito wake.
Shuka 1 nyeusi.
Moja ya kijani.
Na moja ya blue
Na mchanga wa makaburini.

Kisha bila hata wewe kusema shida yako utapata majibu.
Utakuja kutulipa ukifanikiwa.
 
Back
Top Bottom