Kama umewahi kula kuku na mayai yake njoo utoe ushuhuda hapa

Nimefanana sana na kaka yangu kuna kipindi tulikua tunaishi pamoja mimi na kaka, mpenzi wake (alikua anaishi mtaa huohuo) akaja bila taarifa kanyoosha mpaka kitandani, mimi nilikua nimelala mida ya jioni.

Kutokana na giza giza mdada akajichanganya, nashtuka naona napewa mdomo, nikaupokea, romansi kwenda kwenda, akaja kushtuka baada ya kuona mbona kadudu kadogo nilipoanza kujieleza ndiyo nikaharibu (sauti yangu nzito kushinda ya kaka).

Nikakosa kulana na shemeji kibahati mbaya.
Pole mkuu kwahiyo hukufanikiwa kuchovya kabisa?
 
miaka fulani niligegeda kwanza binti nilianza nae,akaja mama yake mdogo akashoboka nikalamba,huyu ikawa kama mke,siku moja isiyo na jina binti mwingine familia hiyo hiyo kajileta na kanga moko kujidai kakosea room kalewa,akaliwa.hitimisho mama yao aliyewaleta pale kaja night tupige story apate na kaglas cha wine,mara kaanza kujifunua funua tukaweka nanga.
wote walikua wanajua ule mzunguruko na hakuna aliyekua anajali.ilikua km wamepata ukuni wa dharura wakihitaji.
na mm damu ilikua inachemka kipindi hicho walikua wanakula vichapo na demu wangu denti akija wanakula bati.
Duh uliwala katika mazingira gani mzee? Mbona hii kali kuliko
 
Salaam wandugu. Najua kwa wale wazee wenzangu mliocheza mechi nyingi si ajabu ukakutana na vitu vya namna hii, vya either umekula mtoto na mamayake ama mtu na mdogo wake ama mtu na shangazi yake , n.k Binafsi mimi nimewahi kukutana na hilo la kula mtu na mdogo wake mara ila kwa Leo nitazungumzia moja.

NI HIVI: Utotoni niliwahi kuishi quarters fulani Mtwara, kipindi hicho niko shule ya msingi, jirani yetu alikuwa na mabinti wawili ambaye mmoja nilimzidi darasa moja, mwingine nilimzidi madarasa manne, huyo mmoja alikuwa mkubwa kidogo nimecheza naye sana utotoni huku yule mwingine akiwa mdogo sana kwangu. Ikatokea mzee wangu akapata uhamisho kwenda Mwanza tukapotezana kwa kipindi kirefu. Siku 1 nipo Iringa masomoni nikiwa form6 nadhurura mjini Mara msichana mrembo ambaye jina lake linaanzia na herufi J akiwa upande wa pili wa barabara akaniita jina langu la kinyumbani, nikashangaa huyu nani tena, maana hilo jina wanaolijua wa nyumbani, nikamsogelea karibu ikawa sura inanijia kwa mbali ila bado sikuweza kujua ni nani, akauliza wewe si fulani? Nikajibu ndio, akauliza umenitambua? Nikasema hapana, akasema Mimi ni J tulikuwa wote Mtwara ndio nikamtambua, ila alikuwa kabadilika sana kawa mrembo, bastola za hatari, nikamtamani palepale. Tulibadilishana mawasiliano, alikuwa akiniita kaka ila siku zilivyozidi kusonga tukajikuta tumekuwa wapenzi, kwakuwa nilikuwa na ugwadu wa boys (Tosamaganga) sikuchelewesha nikaomba mchezo nikapiga gemu, katika story naulizia ndugu zake wengine wako wapi akaniambia, yule mtoto mwingine wa kike alikuwa masomoni mkoa mwingine hivyo sikuweza kuonana nae, baada ya miaka kadhaa nilienda kuishi Dar baada ya kumaliza masomo yangu ya secondary na chuo, siku moja nikapigiwa simu na msichana namba yake ikawa ngeni kwenye phonebook yangu, akajitambulisha kwa jinalake linaloanza na herufi E, kwamba ndio yule mdogo wa J kipindi hicho ananiita kaka, na kwamba kwa wakati huo amemaliza masomo yake na ni mwalimu wa shule moja ya private. Tulifurahi kwa pamoja kuwa na mawasiliano, tuliendelea kuchat kwa mda mrefu na kuonana kwenye mitandao ya kijamii, baada ya kuzoeana sana demu akaanza kushoboka na kuingizia ishu za mapenzi, ikawa sio kaka sasa ni dear, baada ya miezi kadhaa tukakutana nikajimegea mzigo kiulaiiini, na demu akaniganda kwelikweli, sasa shida ikaja siku 1 dadayake alikuja dar akafikia kwa mdogo wake akawa anataka nikamtembelee akiwa na mdogo wake, wakati huo na dadayake tulikuwa tukiendelea kuwasiliana kama wapenzi, ilinipa tabu sana ila nilifanikiwa kuukwepa huo mwaliko na kila mmoja nilikuwa nikikutana naye kwa wakati wake. Karibu kwa ushuhuda walafi wenzangu....
Ila ujue kuna jamaa kamla dadako na dada yake na anamalizia mchakato na mama wa hao dada!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mi napendaga sana hiyo initokee lkn sijabahatika tena mimi nataka mama na mwana ndio inanoga yaani pale alipotokea mwana na wewe ndio unaingiza dushe alaf baadae unakuja kwa mwana daah full utamu
Mwosha huoshwa, ulipotokea wewe na dadako kuna jamaa anapenyesha dude lake kisha anakuja lisuuza kwa dadako.
 
Haya mambo tulishatubu dhambi Kwanini mnalazimisha tuseme tuliyosahau, Haya mambo ya boga na ua lake ni shidaa ngoja nikae kimya nitakumbuka maovu ya ujana
 
Hauna formula ila kuna makundi ambao wapo hatarini zaidi...
Wenye sexual partners wengi/ wauza ngono
Watumiaji madawa ya kulevya kwa kujidunga sindano
Mashoga n.k
Sawa ila ni bahati ya mtu pia kupata au kutopata, mimi katika ujana wangu nimepiga vimeo vingi mno ila nnauhakika sina maana nimepima mara kadhaa wife akiwa mjamzito sababu sikuhizi ni lazima upime, ila kuna nnao wafahamu tangu utotoni full ulokole but maisha yao yameishia clinic za ARV. Tuombe tu huu ugonjwa uishe, ila haunaga formula aisee
 
Back
Top Bottom