Kama umewahi kula kuku na mayai yake njoo utoe ushuhuda hapa

kuna mimtu nawashangaa kwa shuhuda zao za kipekee..wanajikita kwa kila uzi unaohusiana na ngono..hawakosi tukio linaloendana na mada husika..hivi maisha yanawapelekaje nyinyi magwiji wa mchezo pendwa?ila isiwe ishu..ni observation tu nimefanya wala sina nia yoyote..
Wakina nani hao?
 
Ipo sana hiyo japo watu wanajikausha. Na Mara nyingi utakuta kati yao kuna anayejua kinachoendelea. Nimekula mama mtu na mdogo wake, baada ya muda mtoto kajileta. Mahala pengine mtu na mdogo wake.
Wewe nyoko doooh!!!
 
yaan wanawake sijui wapoje,,utakuta anajua kabisa unatoka na dadake,,ile ushem shem ukiomba kwa mdogo mtu anakua bila hiyana..sasa msifie kua yeye ni bora sasa,,utamega hadi utakua unaombewa uchi
 
mm story yangu ni hivi....sehm tunayoishi kuna majirani walihamia nyumba yao mpya! walikua mke mume mtoto mdogo na mademu wawili!! nakumbuka nilikua form v ile likizo ya mwez wa pili!
nivowazoea hao madem nikagundua mmoja ni mdogo ake huyo mume mtu na yupo certificate ...na dem mwingine alikua mdogo ake yule mke alkua ndo kamaliza IV anaskilizia pale kwa dada yake!
mazoea yakaongezeka..... yule dem mdogo ambaye ni mdogo ake mke wa jamaa ndo alkua kisu zaidi... na ndo nilimtaman....huyu mdogo ake jamaa alkua mzuri nae ilA hamfikii yule mwingine....cha kushangaa huyu mdogo ake jamaa ndo alionyesha interest.... nikala! mazoea yazid pind napowaona wapo pamoja najitahd kuwa neutral ili nisionyeshe tofauti !! yule mdogo nikaomba gem nikala mzigo...akajagundua nna relation na yule mwingine alimaind sana tukaachana...nikaendeleA kula yule mwingine nae tukajabwagana !!!
 
Nimefanana sana na kaka yangu kuna kipindi tulikua tunaishi pamoja mimi na kaka, mpenzi wake (alikua anaishi mtaa huohuo) akaja bila taarifa kanyoosha mpaka kitandani, mimi nilikua nimelala mida ya jioni.

Kutokana na giza giza mdada akajichanganya, nashtuka naona napewa mdomo, nikaupokea, romansi kwenda kwenda, akaja kushtuka baada ya kuona mbona kadudu kadogo nilipoanza kujieleza ndiyo nikaharibu (sauti yangu nzito kushinda ya kaka).

Nikakosa kulana na shemeji kibahati mbaya.
 
Ni kushukuru Mungu mapenzi hayana kanuni,njaa haina chaguo ni Mungu tu aingilie kati.Wewe unasema umegegeda dada na mdogo wengine kuzaa kabisa yaani kazalishwa mdogo mtu na baadaye na dada mtu naye kazalishwa na zaidi ya fungu moja.
Mbona yule mgombea aliyeburuzwa na Sugu jimbo la mbeya mjini kamuacha mke wake ameoa shangazi wa mke wake aliyeenda kumsalimia na sasa ndiyo mke wake.
Anapika na tayari naye keshalipiwa mahali anakula mdogomdogo.Ni mwendo wa kutafuna tu.
 
miaka fulani niligegeda kwanza binti nilianza nae,akaja mama yake mdogo akashoboka nikalamba,huyu ikawa kama mke,siku moja isiyo na jina binti mwingine familia hiyo hiyo kajileta na kanga moko kujidai kakosea room kalewa,akaliwa.hitimisho mama yao aliyewaleta pale kaja night tupige story apate na kaglas cha wine,mara kaanza kujifunua funua tukaweka nanga.
wote walikua wanajua ule mzunguruko na hakuna aliyekua anajali.ilikua km wamepata ukuni wa dharura wakihitaji.
na mm damu ilikua inachemka kipindi hicho walikua wanakula vichapo na demu wangu denti akija wanakula bati.
 
Back
Top Bottom