Kama umewahi kula kuku na mayai yake njoo utoe ushuhuda hapa

motonkafu

JF-Expert Member
Dec 2, 2015
1,030
2,000
Thread kama hizi huwa nazipenda Sana maana maisha jinsi yalivyo magumu na majanga Tele angalau ukizikuta hizi zinakupunguzia stress,Kuna watu wanataka tujadiri viwanda tu humu haiwezekan lazma turelax kidogo
Viwanda vyenyewe eti vya kubangua korosho na kusindika mbege si bora tuwaze papuchi maisha yasonge, viwanda bila kilimo
 

edwin george

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
1,221
2,000
Ma mdogo wake kaniletea makuzi nikatia swaga kanielewa lakini alikuwa kahamia bagamoyo tukawa tunachati na tukapanga kila kitu kwamba niende bagamoyo kila kitu kikaishie huko ila katka stori stor akaniambia kwamba dem wangu aliwahi kutembea na bwana ake roo ilinishuka na mzuka wote ukaisha yani ma mdogo alitaka kulipa kisasi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom