Kama umewahi kufanya kazi au unafanya kazi na Axis Business Consult Limited

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Kwa kuwa jf inakusanya watu mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali ya nchi, bila shaka humu kuna watu watakuwa wamewahi kufanya kazi na Shirika LA Axis Business consult Limited au pengine wanafanya nalo kazi kwa sasa,
Kama wapo basi Naomba tujuzane kuhusu malipo yao yakoje, wanalipa vizuri au wababaishaji tu?

Karibuni
 
Nilishawahi kutuma maombi huko lkn sikujibiwaga

Back
Top Bottom