Kama umewahi date na ke/me zaidi ya mmoja wanaotumia jina moja, karibu u-share tabia zao

Zawadi ulichonifanyia kwasababu nilikua nimefulia, Mungu anakuona mbwa wewe....☹️

Zawadi R.i.P huko ulipo ingawa uliniacha ukaenda kuliwa na Cuthbert...😑

Zawadi ulinisaliti alafu ukanipoza kwamba uliliwa kidogo tu, ila unanipenda mimi kuliko yule mjinga ambae hakuwahi kwenda jandoni...🤣

Zawadi nilikupenda sana ila ukaja kuniambia mambi ya kijinga ili unifurahishe, ukafe na unuke kisha uoze mbwa wewe na komwe lako kananga ya meli...☹️
 
Back
Top Bottom