Kama umeoa au haujaoa take this

Kama umeoa au haujaoa take this

Nakubaliana na member mmoja hapo juu kwamba ndoa nzuri haina formula; anayo Mungu mwenyewe.Ebu fikiria mume ambaye anafurahia maisha ya ndoa na mke aliyempata baa.
Unasema nkeo usimhuzishe mambo yako ya mkwanja.Ebu fikiria una sh.30m benki na unafariki kwa ajali na hapo umeacha nkeo na watoto watatu wadogo.maisha yao yatakuweje?Mwanaume more often anatoa reflection ya ndoa yake mwenyewe
 
Naunga mkono hoja.... Jana nimeona documentary ya jamaa alifungwa bahamas kimakosa miaka 6 akaachiwa kawashitaki akashinda dola milion 1.1 wakilia akatoa yake akabaki na kama dola laki 7. Jamaa ni mkenya kakaa huko miaka 23 akitafuta maisha... Ile ela akawambia home fungua akaunti joint mama na dasa yake wa mwisho kisha akaihamishia humo ili arudi aikute. Huwezi amini mama yake na dada yake wameipiga hiyo pesa.
Jamaa amerudi wamemtelekeza akienda wadai wanamwitia polisi. Ana maisha magumu mno wao wamenunua magari na majumba ile story imeniuma sana
Mkuu,kitambo sana hapa jukwaani.

Nimefurahi kukuona maana nilikuwa nafaidika na nondo zako za maswala ya teknolojia.
 
Mkuu,

Sioni ulazima maana wazazi na walezi wetu wangefata uliyoandika basi leo tusingekua hapa. As long as we live once haina haja ya kujaza kila Kanuni hapa duniani other wise Tuoe MAMA ZETU nimetambua sisi wanaume wengi siku hizi hatujiamini kwakua tuna hit wrong target.
Mkuu huu ujumbe wako huu, nadhani unafaha zaidi kuwa pinned kabisa📌

Kijana wa kiume husipotambua nafasi yako na wajibu wako kwenye ndoa/ mahusiano. Utaishia kutoa milio na kuwalaumu wanawake kwenye mitandao ya kijamii. Wenzako wanasonga mbele. No wonder mtalia sana.

Like I always say, the magic of resilient marriage relationship begins from one's choice.
 
Fafanua hapo chini.

ni wazi kuwa hawezi kumwacha ex au mwanamume aliyemzalisha.

Ugumu huko wapi kwenye hicho kipengele?
Ugumu unatokana na msukumo wa mtoto wao. Kuvunja bond itokanayo na mtoto ni ngumu sana.

Utasikia:
Mama flani, mlete mtoto awasalimie ndugu zake, wamemmisi sana. Akimpeleka tu wanatoana hamu kwanza
 
Mkuu huu ujumbe wako huu, nadhani unafaha zaidi kuwa pinned kabisa📌

Kijana wa kiume husipotambua nafasi yako na wajibu wako kwenye ndoa/ mahusiano. Utaishia kutoa milio na kuwalaumu wanawake kwenye mitandao ya kijamii. Wenzako wanasonga mbele. No wonder mtalia sana.

Like I always say, the magic of resilient marriage relationship begins from one's choice.
Hakika umenena ipasavyo ndugu yangu shukrani sana🙏🏻
 
Feminism sio sumu, soma elimu ni bure.


Wololo!

Ona anayezungumzia kukosa upendo.
Wake you ass up from that, unrecognized trauma utakufa vibaya nakwambia

Amka anza kujenga mahusiano bora na jamii, including men.. Utanishukuru sana. Ila ukiendelea Kumeza huo ujinga wa feminism utapotea wewe na kizazi kinacho kizunguka chenye hakina hatia
 
Mbona we umenishindwa huna maono?

Kama umeniweza thibitisha hapa!
Nithibitishe kitu ninacho kifanya sasa?

Kwani kushinda mpaka ukubali kwa mdomo? Wewe kukosa PA kushikia ni ushindi tosha ili ukitoka hapa ukawape taarifa hao wenzako
 
1.Kwenye mambo yako muhimu ya maisha mipango ya maana usimshirikishe mwanamke wako.
2.Mwanamke wako sio ndugu yako,ni adui yako namba moja.
3.wanawake wapo kwa ajili ya kuharibu maono yako .
4.wanawake ni watu wenye maamuzi ya muda mfupi hawana long plan targets kwenye maisha yao.
5.kwa kuwa mwanaume ni kichwa maamuzi yote yenye tija kwenye familia fanya wewe mwenyewe.
6.Kama ulikuwa na mpango wako kabla ,mwanamke akaja na wazo zuri zaidi endelea na mipango yako.
7.wanawake ni watu vigeugeu.
8.uisiwaamini kamwe mwanamke anayekuambia kopa tufanye projects flan,never trust them.
9.Kama mwanamke anatoka familia tajiri sana na wewe unatoka uchumi wa kawaida ,just let her go.
10.kama ulimesekia amewahi kutoa mimba mwache.
11.kama anakopa na kuwa na vikoba mwache.
12.Kila mwanamke anayeshine kwa mafanikio makubwa nyuma yake kuna mwanamume boya.
13.usipoteze muda na nguvu zako kumridhisha mwanamke ,hawaridhiki.
14.siku ukiishiwa utaachwa
15.tafuta pesa huo ndio ufunguo wa warembo.
16.usiwahurumie mwanamke aliyeachwq na watoto wake ,unless wewe ni kaka yake au baba yake.
17.uxile pesa ya mwanamke.
18.hata kama mkeo anafanya kazi ,usitumie pesa zake kamwe.
19.wale mnawaita mama wa nyumbani wana unafuu mkubwa zaidi.
20.ni rahisi wao kudanga na mabosi wao hata kama kazi yenyewe ni housgirl au barmaid.
21 si lazima mkeo ajue kila kitu kuhusu pesa zako.
22.ficha pesa zako hiyo ndio nguvu yako mwanamume,weka akiba.
23.usihonge sana pesa nyingi ,wape matumaini mwanzoni kula sepa.
24.mwanamke aliyemwacha mwanamume mwenzako kuja kwako ana ugonjwa ule ule.
25.kadri wanavyoelimika ndivyo ushetani wao unazidi.
26.usimwamini sana mwanamke hata kama ni dada yako au mama yako.
27.wengi wanatamani kuwa wanaume ni vile hawawezi.
28.ukimfumania once mwache.
29.ni wazi kuwa hawezi kumwacha ex au mwanamume aliyemzalisha.
30.usislambe mbususu ya mwanamke,ni kujishusha ukuu wako,hataweza kukuheshimu.
31.kamwe usiseme udhaifu wako wowote kwa mwanamke hyo itakuwa fimbo ya kukuchapia milele.
32.eat your own bread
33.Watu wengi wakubwa waliangushwa na wanawake waliowaamini.
34.Usimnyenyekee mwanamke mwingine zaidi ya mama yako mzazi.
35.mwanamke anayekutongoza ni kahaba.
36.usitembee na mtu na dada yake au mama yake.
37.usipende kuchanganya nyama na samaki same pot.

38.the moment mwanamke amekuinulia mkono mwache,never mind.
39.dont entrust her withyour kids from another womb.
40.fanya bidii awe mama ya nyumbani.
41.kama ni mlevi au smoke just quit
42.mpe hela ya kutosha,kama baada ya muda mfupi atakuomba tena na tena mwache.
43.akikukosoa sana kuhusu kuvaa kwako vibaya ,mwache.
44.usikubali kulala ukweni.
45.hakuna single mother,
46.Kwenye shida kumbuka ,ni lazima akusaliti
47.kumbuka watataka uwafanyie mambo ambayo wao wenyewe hawayawezi.
48.wanachukulia ndoa ni kama guarantii ya wao kukumiliki.
49.kama ingekuwa hakuna vyeti vya ndoa ama vikipotea ni bora zaidi.
49.jitahid ujenge kabla hujaoa.
50.jitahid usioe mwanamke mpumbavu.
51.kwenye ndoa kuna fujo nyingi zaidi ya ukiwa single.
Mbona mengi sana mkuu? Nitaweza kuzingatia yote hayo kikamilifu hadi "lyamba lya mfipa" kweli?
 
Wake you ass up from that, unrecognized trauma utakufa vibaya nakwambia
Whatever I become is okay as long as i won’t be like you, those you admire and those you aspired to be.

Wapi huko kuna kufa vizuri nije?
Amka anza kujenga mahusiano bora na jamii, including men.. Utanishukuru sana. Ila ukiendelea Kumeza huo ujinga wa feminism utapotea wewe na kizazi kinacho kizunguka chenye hakina hatia
You can’t teach me shit! Ndio maana huwa nakucheka kila mara.
 
Nithibitishe kitu ninacho kifanya sasa?

Kwani kushinda mpaka ukubali kwa mdomo? Wewe kukosa PA kushikia ni ushindi tosha ili ukitoka hapa ukawape taarifa hao wenzako
Acha kukopi maneno yangu, kama umeishiwa tandika daruga!
 
Whatever I become is okay as long as i won’t be like you, those you admire and those you aspired to be.

Wapi huko kuna kufa vizuri nije?

You can’t teach me shit! Ndio maana huwa nakucheka kila mara.
Unachekesha ila your insecure ass is trembling like hell kwa sababu hauna PA kujibanza wewe hormonal imbalanced specie...
Anza kujipenda kabla hujawa chura kiziwi
 
Ugumu unatokana na msukumo wa mtoto wao. Kuvunja bond itokanayo na mtoto ni ngumu.

Utasikia:
Mama flani, mlete mtoto awasalimie ndugu zake, wamemmisi sana. Akimpeleka wanatoana hamu kwanza
Asilimia ya wanaotoana hamu vs asimilia ya wasiotoana hamu, ipi ni kubwa?
 
Unachekesha ila your insecure ass is trembling like hell kwa sababu hauna PA kujibanza wewe hormonal imbalanced specie...
Anza kujipenda kabla hujawa chura kiziwi
Usipende kunibandika hali uliyonayo kwa sasa, sio nzuri kwa afya yako.

You can take some measures bila kufanya projection.
 
Back
Top Bottom