Kama umeoa au haujaoa take this

Kama umeoa au haujaoa take this

Sija fanya projection bali ni translate your unsaid emotional wounding..
Sheik yahaya unajuaje haya?

Kama ukikosa father figure, tupo sisi wa kukuponya..
Ninyi mlipona lini hadi mniponye mimi? Mfano wewe hapo to be specific 😅

Achana na feminism rudi njia kuu
Dunia ina feminism nusu, patriarchy nusu kwa sasa, ni mambo yanayo co-exist there’s nothing much you can do about that.
 
Sheik yahaya unajuaje haya?

Ninyi mlipona lini hadi mniponye mimi? Mfano wewe hapo to be specific 😅

Dunia ina feminism nusu, patriarchy nusu kwa sasa, ni mambo yanayo co-exist there’s nothing much you can do about that.
I don't need to know anything about that dumbass shit..

Ni nyie mlio sababisha vifo vya wanaume kwa sababu ya mapenzi fools

Wacha kuleta unusu kwenye ujinga wa feminism, hakuna wa kukubali
 
Baadhi ya wanaume siku hizi mnalia lia sana humu jamvini kila siku vikao😂😂

Ila mkiambiwa mwanamke ana power over yenu mnakua wakali 🤣🤣

Imebaki mfungue group la kufundana 😆
Very interesting situation.
 
Baadhi ya wanaume siku hizi mnalia lia sana humu jamvini kila siku vikao😂😂

Ila mkiambiwa mwanamke ana power over yenu mnakua wakali 🤣🤣

Imebaki mfungue group la kufundana 😆
Hakuna mwanaume anaye lia bali tunapiga Ufuska unaofanywa na wanawake wapuuzi

Wanawake wasio na hisia za kiu wanawake

Wanawake walio kosa upendo, so wanakuja na feminism as a coping mechanism
 
I don't need to know anything about that dumbass shit..

Ni nyie mlio sababisha vifo vya wanaume kwa sababu ya mapenzi fools
Hatuhusiki na matatizo yako, if you knew what i mean.

Wacha kuleta unusu kwenye ujinga wa feminism, hakuna wa kukubali
Sio lazima ukubali, it’s jus FYI kuwa tupo tunaexist na huna cha kufanya zaidi ya kutukana na kuonesha kichwa chako kilivyo kitupu.
 
Hakuna mwanaume anaye lia bali tunapiga Ufuska unaofanywa na wanawake wapuuzi

Wanawake wasio na hisia za kiu wanawake

Wanawake walio kosa upendo, so wanakuja na feminism as a coping mechanism
Heh we nae 😂😂
 
Hatuhusiki na matatizo yako, if you knew what i mean.

Sio lazima ukubali, it’s jus FYI kuwa tupo tunaexist na huna cha kufanya zaidi ya kutukana na kuonesha kichwa chako kilivyo kitupu.
Ni wewe ambae hutumii akili za kuzaliwa unategemea mawazo ya psychology na feminism

Umekosa touch na upande wako wa healthy feminine.. Sasa unahisi uko sawa kwa sababu huna uelewa kamii

Amka na Wacha ku play na ujinga wa kumwzeshwa
 
Leo ana bipolar niachie mimi huyu, nataka atukane mpaka akatafute matusi mapya kwenye insaiklopidia.
Uhalisia wa mtu aliye shindwa huwa anaanza kutafuta kisingizio cha kuegemea
.

Amka wewe millenial unaemalizia muongo wa mwisho kabla huja expire
 
Unapoteza energy yako bi mzuri
Acha kumfariji huyu bi mzuri uchwara lazima apate anacho kitafuta
 
Tulikubaliana ni heri kupigania katiba mpya kuliko kudeal na matatizo kama ya Gunner 😂

It happened we’wa right all long .
Sio matatizo bali ukweli ngumu Kumeza ambao umejitahidi kuumeza ila kupona hautaki
 
Back
Top Bottom