Kama umeoa au haujaoa take this

Kama umeoa au haujaoa take this

Hujui TU mwanaume anaweza ku cheat sio sababu hampendi mkewe ila ni sababu za uanaume ( ushaona jogoo la kuku linapanda mtetea mmoja pekeake)

Leo asubuh nilikua na hard conservation na wife.. kumbe anachukua simu zangu anasoma meseji zanguu nazo chati then anakua anani zoom TU.

Then ana Anza kunipa maneno mengi mengi mara mchepuko wako ivii mara vilee maneno mengi nikamwambia na Huwa na mkataza kushika simu yule ni kipaji Maalum anasoma Kila kitu then ana Anza kuni zoom na maneno mbofu mbofu (acha kufuatilia simu ya MWANAUME)
Kwenye simu sio mbaya sana kama ya kumfanyia mtu Live Yani anamdhalilisha kabisa na hata kwa vidada vya kazi,majirani,ndugu zake na mengine.
 
Usioe mfanyakazi siyo kwa sababu ya kutombewa bali hakuna tija yoyote,hutoona hiyo hela popote!

Bado utamnunulia mahitaji yake yote na ya familia,utaajiri Dada wa kazi,hatakuwa na muda wa kuangalia hao watoto,atachoka kila siku mzigo hupati etc😁

Kama ni limbukeni,hicho kimshahara ataota na mapembe wote mtakuwa vidume ndani ya nyumba.
 
Hatuhusiki na matatizo yako, if you knew what i mean.

Sio lazima ukubali, it’s jus FYI kuwa tupo tunaexist na huna cha kufanya zaidi ya kutukana na kuonesha kichwa chako kilivyo kitupu.
Tena ana kichwa kitupu hasa!!!!
 
Kuna Profesa mmoja huko Marekani alifanya utafiti miaka miwili mfululizo kuhusu wanawake.

Baada ya miaka miwili ya utafiti wake, akaandika kitabu kinachoitwa Understanding Women.
Kitabu kilikuwa kikubwa sana, kilikuwa na zaidi ya pages 1,000.

Siku ya uzinduzi wa kitabu, Profesa akaaalika watu wengi sana.
Mmoja wa wageni akaombwa apitie pitie baadhi ya chapters za kitabu na kuwaeleza wengine kile ambacho Profesa alikuwa amegundua kuhusu wanawake.

Mgeni yule akafungua kitabu...

Page ya kwanza ilikuwa tupu.

Akaendelea kwenye page nyingine, nayo tupu.

Akaenda ukurasa nwingine, tupu.

Akaendelea kufungua kurasa za kitabu haraka haraka na kwa hasira lakini page zote 1,000 zilikuwa tupu!

Watu wakabaki wanashangaa.

Profesa akasimama na kusema “Baada ya miaka yote ya kufanya utafiti, nimegundua kuwa huwezi kumwelewa mwanamke.”
 
Imebidi nicheke tu!!!!😁😁😁😁

Anyway, ni kwa nini wanaume mnataka kumuelewa mwanamke?!!!
 
Back
Top Bottom