Kama Umejiajiri Pita Hapa

Kama Umejiajiri Pita Hapa

Umomi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
677
Reaction score
994
Habari zenu!

Aisee kumekuwa na watu wengi sana hasa hapa Jamii Forums ambao wamekuwa wakihamasishana kuwa vijana wajaribu kujiajiri hasa ambao wamehitimu Elimu ya chuo kiku. Sema kweli nimekuwa nikipingana nao kwa hoja zifutazo
1. Kujiajiri wakati mwingine ni kipaji
2. Kujiajiri nje ya taaluma yako ni kama umepoteza muda kusomea taaluma hiyo
Kujiajiri inahitaji uwe na mtaji wa kutosha ili ufanye mambo ambayo ni tofauti

Nihitimishe kwa kusema kuwa ktk kujiajiri jmn tunapata pesa ya kawaida sana hivyo tusiwe tunadanganya vijana kuwa ukijiajiri utapata mafanikio haraka sana. Karibuni kwa maoni yenu
 
Kutokana na mtaji mdogo kujiajiri hua ni kwa ajili ya kusurvive siyo kuishi. Try living and look at your business crumble.

Unless una financial support kujiajiri ni mtihani.

When I first started ilikua naweza pata 20K mpaka 30K kwa siku, ilikua ni joint venture so ingawa ni pesa nzuri kwa siku ila baada ya kuigawa inabaki pesa ndogo. Baada ya muda mapato yakawa yanapungua.

How much kupungua? Elfu mbili kwa siku. A place you were making 20K inawezekanaje ghafla ukashuka mpaka elfu mbili? Nikaingia shamba kujiuliza, nikajiuliza kwa ekari moja ya nyanya. Hiyo ekari moja ya nyanya imesombwa na hizi mvua zinazoendelea. Manina.

So kujiajiri bila financial support ni risk. Siyo kidogo.
 
Asante mkuu make nmejaribu sana kujiajiri lkn nimekuja kugundua kuna kipindi mama ananiambia nisome alikuwa anamaana. Sema kweli ukibahatika kuajiriwa fanya kazi make unakuwa na uhakika hata wa kuchukua mkopo na kufanyia miladi mingine
 
kwa pamoja mlikuwa mnafanya biashara gani?.aina ya bidhaa na location pia. Iwe chachu ya mwengne au wengine kuanza mapambano.
 
Simaanishi uache chief. Mimi nimesoma kiasi chake, nina shahada ila sijawahi kuajiriwa so ni sawa na ambaye aliambiwa asome ikidhaniwa atapata ajira.

Kwahiyo bob kaza buti, ups and downs zipo. Hahaha waweza buni biashara eneo fulani baada ya muda wanaongezeka watu wanafungua biashara kama yako eneo hilo hilo na huna la kuwafanya maana hauna autonomy na biashara husika.
 
Tulikua tuna fremu kwa ajili ya kucheza play station 2, 3 na 4. Location ni Dar.
 
Simaanishi uache chief. Mimi nimesoma kiasi chake, nina shahada ila sijawahi kuajiriwa so ni sawa na ambaye aliambiwa asome ikidhaniwa atapata ajira.

Kwahiyo bob kaza buti, ups and downs zipo. Hahaha waweza buni biashara eneo fulani baada ya muda wanaongezeka watu wanafungua biashara kama yako eneo hilo hilo na huna la kuwafanya maana hauna autonomy na biashara husika.
execution ya wazo ndani ya muda mfup nayo husaidia sana.
 
Simaanishi uache chief. Mimi nimesoma kiasi chake, nina shahada ila sijawahi kuajiriwa so ni sawa na ambaye aliambiwa asome ikidhaniwa atapata ajira.

Kwahiyo bob kaza buti, ups and downs zipo. Hahaha waweza buni biashara eneo fulani baada ya muda wanaongezeka watu wanafungua biashara kama yako eneo hilo hilo na huna la kuwafanya maana hauna autonomy na biashara husika.
Man sema kweli sijawahi acha lkn duh! Mungu atupe nguvu ya kuendelea kupambana kweli kweli
 
Kila Mtu ana uniqueness yake katika kufanya jambo Fulani.
Na wewe Tumia uniqueness yako kufanya unachoona kinakufaa.
yap nikwel, ila wengi tunakosa base nzur au hatuna kabsa base. From no experience ya kufanya biashara to starting your own mkuu Mmmh yaitaji moyo.
 
Unatakiwa ukubali kuchukua risks ,ujue kuna kufeli na kufaulu,
uitumie biashara yako kama darasa,
ujifunze unapoanguka uangalie umekosea wapi,
pia unaweza kupitia kwa Mtu ambae tayari yupo kwenye hilo eneo unalotaka kufanyia kazi
 
nice ushauri mzur, naomba uwe mentor wang katika biashara if you have any, tuanzie hapa hapa kupeana some little infos za kuanzia.
 
nice ushauri mzur, naomba uwe mentor wang katika biashara if you have any, tuanzie hapa hapa kupeana some little infos za kuanzia sasa.
tunarudi kwenye uniqueness ,

kuwa wazi unafikiria kufanya nini ama umeanza kufanya nini Naweza kukupa ABC kadhaa..

Nimefanya biashara kadhaa ninaelewa changamoto na faida pamoja na fursa ndani yake.
 
Back
Top Bottom