Kitu kimoja ninachoamini kwenye maisha dream yako kuifikia japo nusu inawezekana. Kama wewe ni mpenzi wa magari japo hutaweza kumiliki benzi japo vitz utamiliki.
Kama ni mpenzi wa nguo unaweza kumuliki mashati 300, na wala usishangae
Kama ni mpenzi wa nyumba nzuri it’s all about plans.