lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,387
- Thread starter
- #41
Dah Tazara pale,enzi hizo niko form 2,niliachwa na burungutu la makaratasi yaliyokatwa kiufundi na kuchagizwa na noti ya 2000 kwa juu huku wakitokomea kusikojulikana na nokia yangu.
pole aisee... Yaani acha tu!Haha madai yako ndo umenunua simu
Kwakweli kama hakuna mazingaombwe basi wako vizuri.Hizo ni natural talent walizonazo jamaa
Hahaaaa!! Msamvu stand usiku saa3 nami nilitapeliwa. Nilinunua kipande cha sabuni kwa sh elfu 10.
Cc Nalendwa
Heaven Sent
Ni mazingaombwe mm nimekaa nao sana hapo aggrey kariakoo lakn hadi leo huwa sielewi wanachokifanyaKwakweli kama hakuna mazingaombwe basi wako vizuri.
Hahaaaa!! Msamvu stand usiku saa3 nami nilitapeliwa. Nilinunua kipande cha sabuni kwa sh elfu 10.
Cc Nalendwa
Heaven Sent
Hahaaaa!! Msamvu stand usiku saa3 nami nilitapeliwa. Nilinunua kipande cha sabuni kwa sh elfu 10.
Cc Nalendwa
Heaven Sent
Nilitapeliwa mwaka 2010 mama, yaani nikikumbuka nacheka tu.khaaaaaaaaaaa shoga msamvu unatapliwa nini pal sasa hahahahahaha w kiboko
Nilitapeliwa mwaka 2010 mama, yaani nikikumbuka nacheka tu.
Wajanja walikuwepo mida ya usiku sana tu, na hizo cases zilikuwepo sana tu.hahahaha we basi tna aisee mwaka hyo kulikua kubaya tu hakuna mjanja haat mmoja hhhhh !kweeeeeeeeeeeeeeli we umetoka kanda 'maarumu'
Wajanja walikuwepo mida ya usiku sana tu, na hizo cases zilikuwepo sana tu.
mume hajarudi bado?khaaaaaaaaaaa shoga msamvu unatapliwa nini pal sasa hahahahahaha w kiboko
mume hajarudi bado?
Mwambie aache kulala mwamshe apige mechi ndo alale.kashinda anakunywa ni konyagi whereva !anakoromaaaaaaa! leo besdey tu yu yake!kaoga nyagi! sijui km ataamka
ahahaaaa hapo akishtuka akikupiga cha konyagi lazima uamke papuchi imetegukakashinda anakunywa ni konyagi whereva !anakoromaaaaaaa! leo besdey tu yu yake!kaoga nyagi! sijui km ataamka
ahahaaaa hapo akishtuka akikupiga cha konyagi lazima uamke papuchi imeteguka
weee mwanaume akinywa konyagi hafai kwa matumizi