kama ulishwawahi kuibiwa Project yako na unamfahamu aliyekuibia ni wakati wako wa kulipwa sasa

Watu wengi wameumizwa na watu wameibiwa project zao messenge nazopata zinatisha , but lazima kieleweke
 
ukiandika project kwenye jukwaa humu jf mtu akaichukua huwezi kusema imeibiwa, tuwekane sawa hapo wakuu.
 
Nawasalimu wana JF,

naamini kwenye jamii zetu tuna wagunduzi wengi wa vitu vipya kwa upande wa teknolojia ila shida ambayo imekuwa kikwazo kikubwa , ni hayo mawazo yamekuwa yakikumbana na vikwazo wakati wakuyatekeleza pamoja na vikwazo kedekede ikiwemo kukosa mtaji. Fedha za utafiti, wataalam wa kushauri ( mentor), government support , private institution support na mengine mengi Tatizo kubwa ambalo Leo naliongelea ni WIZI WA PROJECT ZA WATU, hili ni tatizo kuliko matatizo mengine yote , najua kuna wengi wamewahi kuibiwa project , na wanaziona zinawanufaishs wezi waliotumia udhaifu wako kuiba project yako sasa , Mimi pia ni mhanga ila baada ya kuibiwa project yangu miaka 5 iliyopita , project iliyo nipa majina makubwa pindi naipresent kwa taasisi flani flan na kwa wakuu maana waliniita bilionea , Mara co , Mara mtaalam , mara innovator , na maji ya kunywa walinipa ya Kilimanjaro pindi na wapresentia kumbe ilikuwa mbinu ya kuimendea.

Najua kuna mtu anasema hukujua jambo la hatimiliki (copyright/patent) nikwambie , kwenye technology innovation ni pagumu unaeza ukawa na (copyright/patent) na bado ukaibiwa tena vibaya mno that's y unaona marekani na China wapo na vita ya copyright za innovation zao, sasa niende kwenye point ya msingi , kama wewe uliwahi kuibiwa project yoyote na unauhakika inafanya kazi sehemu hiyo ulipo ipresent yaani mpaka Leo wanaitumia na unaevidence kuwa uliwapresentia.

Wakapita nyuma wakaiganya na kukupotezea , Leo una 80% ya kuikomboa project yako unaposoma Uzi huu , ila hats evidence kama hauna ila unawanaojua kuwa project hiyo inayotumiwa na wezi wakubwa hapo ni yakwako una 85% ya kuikomboa project yako, misho hata kama una evidence na watu wanaojua ila unauhakika uliwapresentia wakaiba project yako na inatumika mpaka Leo una 50% ya kuikomboa project yako Leo, sasa jiandae ,weka comments zako hapa subiri niprize kipenga lazima watu wapate haki zao tuna matajiri wanao nufaika na mawazo/ ugunduzi wa watu na watu wapo tu wanalia njaa.

Suluhu ya tatizo hilo imepatikana ,

ANGALIZO
usiandike project yako hapa iliyoibiwa na usitaje jina la aliyekuibia project , ukitaja umeua mchakato Japo najua wapo wezi wakipita lazima wajifanye hawajasoma angalizo langu, anyway , this battle is to be won .
2021 vita inaendelea
2021 vita inaendelea
 
Hapana sio Tanzania ni marekani.

Huku africa mpaka ufike juu unatakiwa uwe thinking machine sababu mazingira yamebana sana huko nje mazingira yamerahisishwa.

Kuna jamaa 2016 alikuwa na company yake inaitwa flogg na kipindi hicho alikuwa 16yrs sababu kubwa mojawapo ni mazingira yanawasupport.
Imagine mtu16yrs anamiliki company yenye thamani ya usd million 2.
Wakati mimi namiliki smartphone na kitanda cha kurithi vyenye thamani ya laki 250000
 
Nawasalimu wana JF,

naamini kwenye jamii zetu tuna wagunduzi wengi wa vitu vipya kwa upande wa teknolojia ila shida ambayo imekuwa kikwazo kikubwa , ni hayo mawazo yamekuwa yakikumbana na vikwazo wakati wakuyatekeleza pamoja na vikwazo kedekede ikiwemo kukosa mtaji. Fedha za utafiti, wataalam wa kushauri ( mentor), government support , private institution support na mengine mengi Tatizo kubwa ambalo Leo naliongelea ni WIZI WA PROJECT ZA WATU, hili ni tatizo kuliko matatizo mengine yote , najua kuna wengi wamewahi kuibiwa project , na wanaziona zinawanufaishs wezi waliotumia udhaifu wako kuiba project yako sasa , Mimi pia ni mhanga ila baada ya kuibiwa project yangu miaka 5 iliyopita , project iliyo nipa majina makubwa pindi naipresent kwa taasisi flani flan na kwa wakuu maana waliniita bilionea , Mara co , Mara mtaalam , mara innovator , na maji ya kunywa walinipa ya Kilimanjaro pindi na wapresentia kumbe ilikuwa mbinu ya kuimendea.

Najua kuna mtu anasema hukujua jambo la hatimiliki (copyright/patent) nikwambie , kwenye technology innovation ni pagumu unaeza ukawa na (copyright/patent) na bado ukaibiwa tena vibaya mno that's y unaona marekani na China wapo na vita ya copyright za innovation zao, sasa niende kwenye point ya msingi , kama wewe uliwahi kuibiwa project yoyote na unauhakika inafanya kazi sehemu hiyo ulipo ipresent yaani mpaka Leo wanaitumia na unaevidence kuwa uliwapresentia.

Wakapita nyuma wakaiganya na kukupotezea , Leo una 80% ya kuikomboa project yako unaposoma Uzi huu , ila hats evidence kama hauna ila unawanaojua kuwa project hiyo inayotumiwa na wezi wakubwa hapo ni yakwako una 85% ya kuikomboa project yako, misho hata kama una evidence na watu wanaojua ila unauhakika uliwapresentia wakaiba project yako na inatumika mpaka Leo una 50% ya kuikomboa project yako Leo, sasa jiandae ,weka comments zako hapa subiri niprize kipenga lazima watu wapate haki zao tuna matajiri wanao nufaika na mawazo/ ugunduzi wa watu na watu wapo tu wanalia njaa.

Suluhu ya tatizo hilo imepatikana ,

ANGALIZO
usiandike project yako hapa iliyoibiwa na usitaje jina la aliyekuibia project , ukitaja umeua mchakato Japo najua wapo wezi wakipita lazima wajifanye hawajasoma angalizo langu, anyway , this battle is to be won .
2021 vita inaendeleawaz
 
W

Wadau ni miaka mitatu tangu niandike hii meseji sasa naomba nitumie nafasi hii ni kweli yapo maumivu kwa watu wengi hasa upande wa IT, Computer science na Related field, baada ya kuongea na wadau mbalimbali wenye maumivu kama hayo tumekuja na suluhisho ambalo tutalitoa soon, na hakika litasaidia kupunguza au kuondoa hii hali ya mmoja kuwaza mwingine akala bila kumkumbuka aliyewaza
 
Back
Top Bottom