Kama ulikula hizi pipi na bado uko kwenu

Kama ulikula hizi pipi na bado uko kwenu

isee hii kitu leo imefanya niwajue wengi wanaishi home si vibaya wengine tulitaman kubaki home ila tulitimuliwa eti tumekua wakubwa[emoji32][emoji32][emoji32]daby
 
Kama ulikula hizo perende ujue lazima watu wanasema.
Ila tu hujui kwa sababu uko bussy.
Afu jana yote hujaonekana?
Bussy na maombi au halichachi lilichacha?
Hehee situmiagi halichachi mimi, siku moja moja tu sacrifice mda wetu kwa Mungu sio kila siku busy online
 
Toffee za juzi tu,wadada msikate tamaa
 
hapo nitakua naomba ugumu na si wepesi kwa usawa huu
 
Yaani zilikuwa tamu hizo....
Naona ka junk vile, kumbe natakiwa kuondoka kwetu!!! Ngastukaa
 
Back
Top Bottom