Kama ulikula hizi pipi na bado uko kwenu

Kama ulikula hizi pipi na bado uko kwenu

Hizo mbona za juzi tu,hizi je!
images.jpg
 
0281d1fdbfdf1d4a1eead3d5a6698d5e.jpg


Kwani hizi pipi za mwaka gani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] alaf wanaotunga ndo wale wanao omba wapate mke au mume alafu kama mungu vile awaoni achane hizi mambo
Dah!
Umri umeenda, nakula hizi pipi huku namsikiliza Sued Mwinyi, Abdalla Majura, Juma Nkamia wakitangaza mpira na uwanjani kuna kina Tanzania One, Ninja, China, Mzee wa kiminyio, Machine, Mapafu ya Mbwa, rungu, Scania, Kizota, jembe ulaya, Mmachinga, ball jungler etc.
 
Duh mie nimeshahamia toroka uje huku siko home tena[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Bora tu wasije tu anza kunisema òoh kakosa wa kumuoa anazeekea nyumbn mana binadam hawashindwi
Kama ulikula hizo perende ujue lazima watu wanasema.
Ila tu hujui kwa sababu uko bussy.
Afu jana yote hujaonekana?
Bussy na maombi au halichachi lilichacha?
 
Back
Top Bottom