Kama ulikula hizi pipi na bado uko kwenu

PRINCE PRIS

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
347
587
0281d1fdbfdf1d4a1eead3d5a6698d5e.jpg


Kwani hizi pipi za mwaka gani alaf wanaotunga ndo wale wanao omba wapate mke au mume alafu kama mungu vile awaoni achane hizi mambo
 
ila kuna kama ka ukweli..

japo sina mpango wa kuhama home kabisa.. na 30 yangu hii... nikihama chumba changu atalala nani???

na ajira zenyewe wasiwasi tu why nikalipe kodi kwa mtu
si unakipangisha
 
hii dunia siyo mahali salama kuishi, yaani ukiishi kwenu msala, ukipanga mwisho wa mwezi huna kodi pia msala duuuh!!!, acha watu waishi kwao usawa wenyewe huu
 
Back
Top Bottom