Kama uislam unapambwa kuwa dini ya amani (religion of peace) kwanini hata nchi ikijaa waislam bado wanauana kwa sababu ya dini ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,451
Mfano hapo juzi tu nchini Pakistan muislam kaingia kwenye msikiti kajilipua bomu, wasilam 31 wamepoteza maisha

Ni nchi nyingi za kiislam imeshakuwa kawaida kusikia wakiuana kwa misingi ya kidini

wataalam tunaombeni ufafanuzi

Sasa najua kuna watu wataanza kujitetea "mbona nchi za kikristo nako huuana" lakini niwape jibu jepesi huwa hawauani kwa jina la Yesu wala misingi ya kidini, ni mambo mengine kabisa.
 
Kiujumla dini na mambo ya imani ni swala la saikolojia, vile mtu anakuwa na mapokeo juu ya kuamini kitu fulani kwasababu zake mbalimbali.. kumbuka maswala ya saikolojia moja kwa moja hutamalaki fikra na mapokeo sasa wengine wameenda extra miles aidha kwa kudanganywa pasipo kujua hivyo kujikuta imani hizo zimewashika kiasi kwamba kuwa kama ugonjwa wa akili/saikolojia!.

imani hizo watu wamezibeba kama matumaini yao ya maisha yao ya baadae (hivyo ndivyo walivyoaminishwa!), Hivyo kwakufanya wanayoyafanya wanaona kama wanamtendea Mungu wao wakiamini watapata kitu fulani cha milele!.

Binafsi kwangu imani za dini naona ni kama ugonjwa wa akili tu kama magonjwa mengine ya akili hapo ndipo shida inapoanzia.
 
UISLAMU NI UGAIDI NA KITABU CHAO KINARUHUSU
 
Uislamu ni ugaidi
FB_IMG_1771069312584.jpg
 
Mfano hapo juzi tu nchini Pakistan muislam kaingia kwenye msikiti kajilipua bomu, wasilam 31 wamepoteza maisha

Ni nchi nyingi za kiislam imeshakuwa kawaida kusikia wakiuana kwa misingi ya kidini

wataalam tunaombeni ufafanuzi

Sasa najua kuna watu wataanza kujitetea "mbona nchi za kikristo nako huuana" lakini niwape jibu jepesi huwa hawauani kwa jina la Yesu wala misingi ya kidini, ni mambo mengine kabisa.
Kitima anawalipa mkikashifu uislam? Naona nyuzi za kukashifu uislam ni nyingi sana, halafu baadae mnakuja kusema waislam ndio wanaongoza kuwachukia nyie
 
Mfano hapo juzi tu nchini Pakistan muislam kaingia kwenye msikiti kajilipua bomu, wasilam 31 wamepoteza maisha

Ni nchi nyingi za kiislam imeshakuwa kawaida kusikia wakiuana kwa misingi ya kidini

wataalam tunaombeni ufafanuzi

Sasa najua kuna watu wataanza kujitetea "mbona nchi za kikristo nako huuana" lakini niwape jibu jepesi huwa hawauani kwa jina la Yesu wala misingi ya kidini, ni mambo mengine kabisa.
Waislam hawezi pata amani hata wakibaki peke yao duniani. Kwa sababu jihad lazima iendelee hata wakiwa wenyewe kwa wenyewe.
images.jpeg

Mfano ni kule Nigeria kwa sasa kuna mjadala mkali sana kuhusu vita alivyofanya Uthuman Dan Fodio. Wengi wanamuona kama katili tu aliyekuwa akipigana na waislam wenzake bila sababu yoyote. Sasa wanajiuliza kama wote walikuwa wailslam kwa nini alianzisha nao vita?
 
View attachment 3543718

🤣🤣
 
Ivi nyie hamuwezi kukaa mkaongea mengine au mkaleta nyuzi nyngne mbali na uislam??? Kama hamuupendi achana nao manaa hata mkiuponda kwa namna gani uislam ni namba moja dunian na ndo Dini ya kwel huko kwengine ni sehem ya kukusanya kipato tu sasa bas naomba mkae mtulie na mustache uislam kama ulivo
 
Shia na wenzao wengine wale Wasunni, sasa hapo kuna ambao wanaona hao wengine hawana dini wanawaona km makafiri yaan Wasunni wanawaona Washia km Makafiri tu shida ndio inapoanzia hapo

Cc: Dr. Mariposa
Umeenda mbali sana mbona

Ndani ya Sunni Kuna sect hazikubalini na wanaitana makafiri na Hadi wanasomeana albadir ,

Waislamu hata wakiachiwa Dunia yote peke yao ,wakristo wakapewa sayar nyingine

Waislamu watamalizana kwa mapanga
 
Ivi nyie hamuwezi kukaa mkaongea mengine au mkaleta nyuzi nyngne mbali na uislam??? Kama hamuupendi achana nao manaa hata mkiuponda kwa namna gani uislam ni namba moja dunian na ndo Dini ya kwel huko kwengine ni sehem ya kukusanya kipato tu sasa bas naomba mkae mtulie na mustache uislam kama ulivo
Sijawahi KUONA engineer mjinga kama wewe ,

UISLAMU ni dini ya uongo yenye upagani mkubwa sana

Kama ukisoma vizuri kuhusu uislamu huwezi kubaki humo

FB_IMG_1770918515526.jpg
FB_IMG_1768651046551.jpg
 
Back
Top Bottom