Asilimia nyingi ya story za ndizo watu huwa tunazinjua......Story zipo ingia jf utafute maana ni za watu wanaweza kukushitaki
Kwa hiyo huo u-president wa kampuni hiyo alikuwa akiufanyia Tanzania katika hali ile ya kuchanganyikiwa?Nimeenda website ya hiyo kampuni nimeona president ni Louis S Kid sasa sijui ndio huyo Dr Louis Shika?