Kama tungelijua kuhusu Dkt. Shika, tusingemfanyia haya kwa historia yake

Story zipo ingia jf utafute maana ni za watu wanaweza kukushitaki
Asilimia nyingi ya story za ndizo watu huwa tunazinjua......

Kitu kweli huwa ni siri na sio rahisi kujulikana, vingi tunavyovijua huwa sio kweli mkuu. Jifunze kuamin zaid fikra zako na sio unachokisikia.
 
Waandishi wa udaku walimuweka kundi hilo mkuu na watu wakaamini hivo.
Labda angeanza kuhojiwa na tv za kueleweka huenda watu wangemuamini lakini waliokua wanamuhoji sana ni wale waandishi uchwara.

Utaskia wanamuuliza vipi unahisi harmorapa utamzidi kwa umaarufu?? wakati si ajabu uyo mzee hata huyo harmorapa hamjui.
Mi naamini uyo mzee fuba alikua nazo kweli na hata kwenye msiba wake waligusia hiyo historia yake na izo fuba zake za urusi.
 
nchi yenu ilisha vurungwa na maccm

mimi nikipata bahati nataka nibadili na uraia kabs

siwez tena nikawa mtanzania
 
Back
Top Bottom