Conte Code
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 407
- 485
Tuwaze zaidi kuwa na Serikali moja.....
Aliiuza sababu ya woga wake.Mchonga yeye alishalishwa yamin ahakikishe nammaliza sultan.Hakuuza alivamiwa bila kutambuwa , alipogutuka , mwisho akashughulikiwa
HatutakiTuwaze zaidi kuwa na Serikali moja.....
Imetosha mkuu 'Jagina'.ndiyo kwa sababu unajifanya huelewi , ungaliwauliza zaidi kwani akili yako inaonyesha imenyooka
Taiwan ndo ilishiriki kama China kuunda U N 1945.
Imetosha mkuu 'Jagina'.
Wewe ni mtu muungwana, kwa kusoma majibu yako, hata kama sikubaliani nayo. Sitaki tukwaruzane humu kwa jambo ambalo hatuna uwezo nalo kulibadili. Yetu ni maoni tu.
Tuwaze zaidi kuwa na Serikali moja.....
Yes, nyinyi Serikali yenu ya Zanzibar inawauzia kwa LUKU, lakini sisi tunawapa serikali yenu umeme bure!Zanzibar hakuna umeme wa bure ukitaka njoo uione kila mtu ananunua LUUK
Yes, nyinyi Serikali yenu ya Zanzibar inawauzia kwa LUKU, lakini sisi tunawapa serikali yenu umeme bure!
Mwaka jana Tanganyika ilisema imesamehe deni la umeme la Zanzibar...
Kwa hiyo Tanganyika inawapa Zanzibar umeme bure, halafu serikali ya Zanzibar inauza kwa wananchi.... dhulma bin kufuru!
Na Zanzibar wanapata umeme kutoka Tanganyika kwa bili (tumia lipa baadae, deni linazungumzika) lakini wao kwa Wananchi wao wa Zanzibar wanawauzia kwa LUKU, pesa mbele pata umeme.... dhulma bin kufuru!
Nilitaka kuandika "Naelewa", lakini hapo hapo naona usemayo hayawezekani. Kama Kenya aliweza, Tanzania, ambayo si Tanganyika, itashindwa vipi?Uwezo tunao japo wa kutoa maoni . Sisi wazanzibar katu hatuwezi kukubali kutawaliwa na Watanganyika katika uvamizi huu , iliyobaki tugawane mbao kistaarabu kama ilivyochukuliwa Mombasa yetu na Mngereza ikapewa Kenya.
Hamtaki , msipige kelele tukiuza kila kitu nje
Nilitaka kuandika "Naelewa", lakini hapo hapo naona usemayo hayawezekani. Kama Kenya aliweza, Tanzania, ambayo si Tanganyika, itashindwa vipi?
Niwie radhi mkuu, ngoja nimalizie hapa katika majibishano haya. Huenda huko mbele ya safari, palipo majaaliwa, tukutane tena juu ya swala kama hili au jingine.
Ila nimependa uungwana wako katika kujibishana.
LOooh!Kweli akili yako imenyooka , sijaandika Kenya aliichukuwa , soma vizuri
LOooh!
Sijui kama unanilazimisha niendelee na mjadala huu kivingine nikitumia akili "iliyonyooka" ili unielewe vizuri zaidi au vipi?
Busara inanielekeza niishie hapa kwa leo.
Mkuu, kama hujui, hili unalolisema ndilo lile lile wanalotaka watu wa Sultani huko visiwani. Hatuwezi kuwa wakala wa kundi kama hilo.Hakuna haja ya kubadilisha mfumo unatakiwa kuvunjwa Kila mmoja achukue mbao zake wale wapuuzi wasiokua na visogo wanao gawa kisamvu mpira warudi kwao
Mkuu, kama hujui, hili unalolisema ndilo lile lile wanalotaka watu wa Sultani huko visiwani. Hatuwezi kuwa wakala wa kundi kama hilo.
Kama ni kuvunja muungano, tuwe na sababu zetu, tofauti kabisa na hizo za watu wa Sultan.
Basi ngoja nikuweke kiporo. Tutakutana siku nyingine nikiwa na akili iliyonyooka kama unavyotaka.Mimi simlazimishi mtu kuandika au kutoandika , isipokuwa kabla kunijibu ungalisoma vizuri niliandika nini , usikurupuke kwa jaziba
Basi ngoja nikuweke kiporo. Tutakutana siku nyingine nikiwa na akili iliyonyooka kama unavyotaka.
Sasa nimekuelewa vizuri zaidi unapokuwa wazi kiasi hiki. Hili ndilo tatizo lenu watu wa eneo lile, mnakuwa wapole, kumbe ni watu waliojaa sumu kichwani.
Sasa nakuaga rasmi kwa leo. Lakini ahadi nakuwekea.
Muungano uvunjike wazanzibari waanze kubaguana