imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,460
Sasa hivi unaongea Nonsense.Kwa hivyo ndiyo Sultani wa Kichaga akawafuata wazungu ili mlawitiane Kama wao bila kujificha au vipi?
Sasa hivi unaongea Nonsense.Kwa hivyo ndiyo Sultani wa Kichaga akawafuata wazungu ili mlawitiane Kama wao bila kujificha au vipi?
Tulia dawa ikuingie, nonsense vipi na Sultani Mchaga anawafuata wazungu aifanye kazi ya kuruhusu ushoga waziwazi Kama wao au vipi?Sasa hivi unaongea Nonsense.
Ushoga wazi wazi wa Mzungu na Ushoga wa kujificha wa Muomani wote ni Ushoga tu.kuruhusu ushoga waziwazi
Si unataka kuiga wa wazungu wa uwazi au vipi?Ushoga wazi wazi wa Mzungu na Ushoga wa kujificha wa Muomani wote ni Ushoga tu.
Serikali tatu ni gharama senseless, sitaki kutukana lakini sina neno lingine, ni gharama za kijinga.Mwarobaini wa huu Muungano ni Serikali tatu.
Bora kuwaiga Watu ambao sio Wanafiki.Si unataka kuiga wa wazungu wa uwazi au vipi?
Hizi hoja za kudai eti Zanzibar haiwezi kujiendesha ni kuwatisha wazanzibar na kuwahadaa watanganyika. Wao wenyewe wazanzibar viongozi wa ccm na upinzani wanadai kuwa uwezo wa kujiendesha wanao kwa nini mnawabana. Wametoa hoja kuwa wanaodai Tanganyika/Tanzania matilioni ya faida ya benki kuu hadi sasa hoja hii haijajibiwa, lakini pia hatujasahau jinsi Rais mmoja wa Zanzibar alivyomtunishia msuri Magu juu ya deni la umeme na Tanganyika tuliufyata. Mjadala wa Muungano urejelewe upyaHoja zao zina mashiko
Litakuwa jukumu la nani kuendesha gharama za serikali ya tatu ya Muungano?
Je, serikali ya Z'bar wataweza kusimama wenyewe?
Au zigo lote litaiangukia serikali ya Tanganyika?
Bora kuwaiga Watu ambao sio Wanafiki.
Bora kuliko kumuiga Ayatolah na Sultani Qaboos wanapiga mtungo vijana wao huku wamevaa tasbihi.Waigeni wazungu muanze kuoana makanisani wanaume kwa wanaume, Sisi hayo tunawaachie wenyewe
Shughulika na Nape na Kinana ya Wazanzibari waachie wenyeweWazanzibari ni Wabantu walioArabishwa ni jukumu letu kuwarudisha kwenye Folder ili warudi kwenye Asili.
Wabantu wenzenu mbona mnapiga kelele wanaikuza nchi yenu kwa Hao waarabu mliowafikuza?Huyo Mzee alikuwa kibaraka wa Sultan, Zanzibar iliyokuwa na kiti UN ni Zanzibar iliyokuwa chini ya ukoloni wa kiarabu.
Kwa mapinduzi au kwa namna yoyote ile utawala dhalimu wa kisultani ulitakiwa kuondoshwa.
Ikumbukwe Muungano ulifanyika ndani ya miezi michache tu tangu mapinduzi yafanyike.
Pamoja na ukweli kwamba serikali iliyofanya Mapinduzi ilitambuliwa na baadhi ya mataifa, serikali hiyo haikuwahi kutambuliwa na Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa.
Zanzibar tuliyoungana nayo ni iliyokuwa inaongozwa na wabantu wenzetu, sio hiyo ya waajemi iliyokuwa na kiti UN.
Serikali moja, tuwe wamoja, tuishi pamoja, kwa umoja, kama moja!
Mkiachwa wenyewe sasa hivi mnazidiwa akili na kutekwa kifikra na Waomani.Shughulika na Nape na Kinana ya Wazanzibari waachie wenyewe
Mkiachwa wenyewe sasa hivi mnazidiwa akili na kutekwa kifikra na Waomani.
Msipige kelele tukiwapa waarabu bandari na mbugaZanzibar sio nchi, haijawahi kuwa nchi, na haitakuwa nchi.
Hiyo Zanzibar mnayoshupaza shingo siku zote kwamba ilikuwepo tangu karne nyingi zilizopita iliundwa na Sultan wa Oman na ikatawaliwa kikoloni kwa muda mrefu.
Siasa zisikuchanganye mkuu. Ninyi ni watu wetu, na visiwa vyenu ni vyetu kama ambavyo Watanganyika ni wenzenu na eneo lote la Tanganyika ni haki yenu pia.
Huu Muungano ni kiini macho tu. Kitendo cha TNG na znz kuungana ilikuwa ni busara za wazee wetu kuonesha utu.
Tungeweza kuiannex Zanzibar kwa nguvu ila kwa kuwa tunajali utu ikaonekana ni busara kwa watu wanaokaa visiwa vya Pemba na Unguja wawe na serikali yao ili wasijihisi kutawaliwa na Watanganyika.
Binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja 💪🏽.
Nakuasa ndugu uache mara moja kurudisha nyuma jitihada za kuwaunganisha watu wa bara la Afrika waliogawanywa na watu kutoka mabara mengine kwa manufaa yao.
Jitambue kijana!
Naongelea kukabidhi Mamlaka ya Visiwa vyetu kwa Sultani wa Oman kwa vigezo kuwa ni wajomba zenu.Waomani mbona wako Arusha au hujui?mumewaleta wenyewe ,umebaki kubweka jag tu watu wako ndani
Inafanywa Tanganyika, Sultan wa Chadema akiwa amelewa gongoZanzibar haitafanywa tena kuwa Slave Colony na Sultani wa Oman.
Kuna kipindi huwa unaongea Rubbish, niwie radhi kwa lugha kali.Inafanywa Tanganyika, Sultan wa Chadema akiwa amelewa gongo
Naelewa hutaki atajwe Sultani wa Chadema padri MboweKuna kipindi huwa unaongea Rubbish niwie radhi kwa lugha kali.