imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,460
Nimeshakwambia kuwa niko radhi kutawaliwa na Sultani wa Kichaga kuliko Sultani wa Kiomani.Naelewa hutaki atajwe Sultani wa Chadema padri Mbowe
Nimeshakwambia kuwa niko radhi kutawaliwa na Sultani wa Kichaga kuliko Sultani wa Kiomani.Naelewa hutaki atajwe Sultani wa Chadema padri Mbowe
Tangu Niko shule nilikuwa naambiwa TAN+ZAN+IA ndiyo nchi yetu. Nikawa najiuliza TANGANYIKA Iko wapi? Maana ZANZIBAR ipo na bendera nikigoogle naiona bunge la kujadili mambo ya majimbo yao lipo. Wakati huo wanaingia pia kwenye bunge linalojadili mambo ya TANZANIA ok sawa ni ya Muungano. Sasa ninapokosa jibu ni hapa bunge la kujadili mambo ya TANGANYIKA liko wapi? Hakuna anayependa kutengana ila si tuwe TANZANIA yaani nchi moja? Au si TANGANYIKA iwepo wajadili mambo yao ya Ki-Tanganyika na majimbo yao kama Zanzibar nchi ya pili ya Muungano inavyofanya? Na kama kuna sababu za msingi za kuukumbatia Muungano wa aina hii si ziwekwe wazi kusiwe na maswali? Wanafunzi wa shule zetu wapate elimu sahihi juu ya hili? Sisi wa zamani ok tulipelekwa hivyo mpaka hapa tulipo lakini waenda shule wa miaka hii no! Halafu eti ukiuliza kuhusu hili la Muungano huu kuna watu Kwa makusudi bila kutoa majibu sahihi wanakukasirikia badala ya kutoa elimu ingawa Kwa uelewa wangu sioni majibu sahihi!Muungano uboreshwe hakuna Mwafrika anaetaka kutawaliwa na Masultani wa Omani tena.
Tunataka One Africa!✊️
Mliomwondosha mwalabu mnapiga kelele Za nini na wanakula nchi ni waafrika wenzenu 😝😝Tangu Niko shule nilikuwa naambiwa TAN+ZAN+IA ndiyo nchi yetu. Nikawa najiuliza TANGANYIKA Iko wapi? Maana ZANZIBAR ipo na bendera nikigoogle naiona bunge la kujadili mambo ya majimbo yao lipo. Wakati huo wanaingia pia kwenye bunge linalojadili mambo ya TANZANIA ok sawa ni ya Muungano. Sasa ninapokosa jibu ni hapa bunge la kujadili mambo ya TANGANYIKA liko wapi? Hakuna anayependa kutengana ila si tuwe TANZANIA yaani nchi moja? Au si TANGANYIKA iwepo wajadili mambo yao ya Ki-Tanganyika na majimbo yao kama Zanzibar nchi ya pili ya Muungano inavyofanya? Na kama kuna sababu za msingi za kuukumbatia Muungano wa aina hii si ziwekwe wazi kusiwe na maswali? Wanafunzi wa shule zetu wapate elimu sahihi juu ya hili? Sisi wa zamani ok tulipelekwa hivyo mpaka hapa tulipo lakini waenda shule wa miaka hii no! Halafu eti ukiuliza kuhusu hili la Muungano huu kuna watu Kwa makusudi bila kutoa majibu sahihi wanakukasirikia badala ya kutoa elimu ingawa Kwa uelewa wangu sioni majibu sahihi!
Nimeshakwambia kuwa niko radhi kutawaliwa na Sultani wa Kichaga kuliko Sultani wa Kiomani.
Kama swala ni gharama Basi Kila mtu abaki na nchi yake mpaka Sasa hivi watanganyika ndio wanabeba gharama za kuendesha muungano.Hoja zao zina mashiko
Litakuwa jukumu la nani kuendesha gharama za serikali ya tatu ya Muungano?
Je, serikali ya Z'bar wataweza kusimama wenyewe?
Au zigo lote litaiangukia serikali ya Tanganyika?
Nchi washirika wa muungano, Tanganyika & Zanzibar kwa utaratibu utaowekwa na katiba ya Muungano wa Tanganyika & Zanzibar pamoja na sheriaLitakuwa jukumu la nani kuendesha gharama za serikali ya tatu ya Muungano?
Kwani kwa Sasa wamesimamishwa na nani? Si wana nchi yao, katiba yao, serikali yao, Bunge lao, mahakama yao na kila kitu chao?Je, serikali ya Z'bar wataweza kusimama wenyewe?
Zigo liiangukieje Tanganyika Iliyo nchi huru yenye serikali yake dhidi ya Zanzibar nchi huru na yenye serikali yake?Au zigo lote litaiangukia serikali ya Tanganyika?
Si kweli. Hizi ni hofu za kawaida.Hakika
Ni vile tu Z'bar wanapenda wawe na raisi ila tungeiga mfumo wa China na Hong Kong
Hong Kong ni special administrative region, hawana raisi, raisi wao ni wa China wao wana Chief Executive Officer of Hong Kong
Masuala ya diplomatic, military and other state-level affairs yako chini ya serikali ya China, Beijing.
Mfumo wa kiungozi wanauita One country, two systems
Why one country two systems?
Hong Kong own governmental system, legal, economic and financial affairs, including trade relations with foreign countries, all of which are independent from those of the mainland China
Hong Kong has multi-party legislatures, legal systems, police forces, separate customs territory, immigration policies, left-hand traffic, official languages, academic and educational systems, representation on certain international bodies and representation in international competitions
Z'bar kusimama kama taifa ni uongo ndio maana bado sehemu nyingi katika international affairs Z'bar huwa inawakilishwa na The United Republic of Tanzania
Mandela aliushangaa sana huu muungano alikuja bara akapigiwa wimbo wa taifa akaenda Z'bar akapigiwa tena wimbo wa taifa. Akauliza nimetembelea nchi 2 tofauti?
Nyerere akabaki na maelezo mengi mzee Mandela hakumwelewa kwa kuwa alikuwa mchizi wake akapotezea
Unaongelea karne ngapi hizo nyuma ?? Sultani Mbowe kakuchanganya wewe kijanaZanzibar ya kale ilifanikiwa kibiashara kutokana na Mainland Afrika ku supply Watumwa Meno ya Ndovu na Dhahabu kutoka Kilwa na Sofala lakini leo hii hakuna tena hizo Dili.
Kwa hiyo unamaanisha Z'bar walijichanganya kuingia kwenye huu muungano?Si kweli. Hizi ni hofu za kawaida.
Kumbuka tu kuwa, mawazo na dhana hizi zilikuwepo wakati Tanganyika ikijitoa kwenye makucha ya ukoloni wa Mwingereza na kabla Ujerumani.
Watu walikuwa na hofu nzito pengine kuliko hizi ulizonazo wewe. Walijiuliza maswali kama haya, mfano; Tutawezaje kujitawala wakati Malkia ndiye alikuwa msaada wetu?
Na kwani sisi Tanganyika baada ya kupata uhuru wetu toka kwa Mwingereza mwaka 1961 tulishawapeleka mahakama gani hawa Waingereza wakiwemo Wajerumani wakoloni kabla ya Waingereza?
Zanzibar mpaka sasa iko kwenye kongwa la ukoloni wa Tanganyika kwa jina la "Muungano".
Wakitoka, ni kama watakuwa wamepata uhuru wao rasmi ktk makubaliana na mapatano mapya kuya - nullify ya zamani na kutoka hapo wataanza maisha yao mapya kwa kuanza kuijenga nchi yao upya.
Zanzibar wanataka uhuru wao, wapewe............!!
Tanganyika wanataka uhuru wao, tujichukulie.........!!
Maswali ya itakueje ikiwa hivi au vile, kwa Sasa hayana nafasi. Tunaishi na tutaendelea kuishi. Yaliyo mbele ya mto, tutajua namna ya kuyafikia kwa kuuvuka mto tutakafika mtoni hapo!
Cha muhimu kwanza ni UHURU WA KILA TAIFA/NCHI
Kalamu
Eti watu wachache Wana nchi, rais, bendera, bunge. Na wakienda nje ya eneo lao wakiulizwa wanasema wao waZanzibar sisi eti waTanzania. Watu milioni 60 hatuna vitu hivyo how! Unaanzaje kusema eti mm mTanganyika ulifundishwa na nani shule gani! Wakati wao wanajitambulisha waZanzibar sisi eti WaTanzania bara mmh! Mbona wao hawajiiti WaTanzania visiwani? Si tuwe nchi moja tuitwe waTanzania au kila mtu na chake tukutane juu? Au kila mtu ki-vyake?Nchi washirika wa muungano, Tanganyika & Zanzibar kwa utaratibu utaowekwa na katiba ya Muungano wa Tanganyika & Zanzibar pamoja na sheria
Kwani kwa Sasa wamesimamishwa na nani? Si wana nchi yao, katiba yao, serikali yao, Bunge lao, mahakama yao na kila kitu chao?
Zanzibar ni nchi huru. Wao na serikali yao watasimama kivyao. Nyie wengine hamhitaji kujua wala kuwafundisha wasimame vipi!!
Zigo liiangukieje Tanganyika Iliyo nchi huru yenye serikali yake dhidi ya Zanzibar nchi huru na yenye serikali yake?
Kama unafikiri ktk mrengo wa dhana ya udogo wa nchi ya Zanzibar yenye watu (population) inayokaribia milion mbili (2,000,000), basi unajipotosha mwenyewe.
Basi elewa tu kuwa, kuna nchi duniani ndogo sana zenye idadi ya watu (population) ndogo sana kuliko Zanzibar
Mfano ni Cape Verde, visiwa vya Comoro, visiwa vya Madagascar, Swaziland, Lesotho (Afrika), Luxembourg, Greenland nk ni nchi ambazo idadi ya watu ktk nchi hizi zingine hawafiki hata milioni Moja (1,000,000) lakini ni nchi zilizo very strong kiuchumi na kijamii kiasi cha kuweza kuisaidia Tanzania misaada mbalimbali..
Kwa hiyo achana na mawazo ya dhana potofu na udanganyifu ulizolishwa na CCM miaka yote hii.
Zanzibar wakiwa nje ya Muungano huu fake, wataikimbiza Tanganyika kimaendeleo kuliko kawaida..
Raha Za uvamizi hizo Wacha mzinywe aliyataka Baba yenu NyerereEti watu wachache Wana nchi, rais, bendera, bunge. Na wakienda nje ya eneo lao wakiulizwa wanasema wao waZanzibar sisi eti waTanzania. Watu milioni 60 hatuna vitu hivyo how! Unaanzaje kusema eti mm mTanganyika ulifundishwa na nani shule gani! Wakati wao wanajitambulisha waZanzibar sisi eti WaTanzania bara mmh! Mbona wao hawajiiti WaTanzania visiwani? Si tuwe nchi moja tuitwe waTanzania au kila mtu na chake tukutane juu? Au kila mtu ki-vyake?
Mbona damu inamwagwa huku Zanzibar kila uchaguzi au kwa sababu si ya Wa Tanganyika wewe na wa Tanganyika wenzako akina Mwinyi hamjali kuimwaga kwa kuwa wanaokufa ni Wazanzibari?Huu Muungano ni suala la muda tu, tusipokuwa makini sasa utaleta matatizo baadaye maana wenzetu upande wa pili Kwa maana ya kisiwani wanaamini kwao ni Oman na ndugu zao ni waOman na sisi kama tunalazimisha undugu tu kwao au kuwakalia kimabavu.
Kizazi cha baadaye tusipochukua uamuzi Sasa lazima damu imwagike kwa either ushawishi au tamaa ya kujitawala.