Kama tunataka Muungano, lazima Muundo Ubadilishwe

Kama tunataka Muungano, lazima Muundo Ubadilishwe

Hakika

Ni vile tu Z'bar wanapenda wawe na raisi ila tungeiga mfumo wa China na Hong Kong

Hong Kong ni special administrative region, hawana raisi, raisi wao ni wa China wao wana Chief Executive Officer of Hong Kong

Masuala ya diplomatic, military and other state-level affairs yako chini ya serikali ya China, Beijing.

Mfumo wa kiungozi wanauita One country, two systems

Why one country two systems?

Hong Kong own governmental system, legal, economic and financial affairs, including trade relations with foreign countries, all of which are independent from those of the mainland China

Hong Kong has multi-party legislatures, legal systems, police forces, separate customs territory, immigration policies, left-hand traffic, official languages, academic and educational systems, representation on certain international bodies and representation in international competitions


Z'bar kusimama kama taifa ni uongo ndio maana bado sehemu nyingi katika international affairs Z'bar huwa inawakilishwa na The United Republic of Tanzania

Mandela aliushangaa sana huu muungano alikuja bara akapigiwa wimbo wa taifa akaenda Z'bar akapigiwa tena wimbo wa taifa. Akauliza nimetembelea nchi 2 tofauti?

Nyerere akabaki na maelezo mengi mzee Mandela hakumwelewa kwa kuwa alikuwa mchizi wake akapotezea

Tatizo mnaifikiria Zanzibar Kama ni sehemu ya Tanganyika ndiyo yanakuja mawazo Kama yako. Zanzibar ni nchi huru ilipigania uhuru kutoka kwa Muingereza. Hizo propaganda Za CCM kuwa kulikuwa na mapinduzi ya kumwondoa Mwarabu ni kamba tu.

Aliyevamiwa na kuondoshwa ni Waziri Mkuu aliyechaguliwa na watu , Muhammed Shamte kwao Ole Pemba .

Zanzibar si Kama Hongkong . Hongkong haijawahi kupigania uhuru au kuwa na kiti UN.

Kama unaendelea na ubishi endeleeni na sisi hatuna nguvu lakini tukipata nafasi tunauza Tanganyika polepole kwa Hao Hao waarabu mnaojitapa kuwa mliwaondosha
 
Tatizo mnaifikiria Zanzibar Kama ni sehemu ya Tanganyika ndiyo yanakuja mawazo Kama yako. Zanzibar ni nchi huru ilipigania uhuru kutoka kwa Muingereza. Hizo propaganda Za CCM kuwa kulikuwa na mapinduzi ya lumwondoa Mwarabu ni kamba tu. Aliyevamiwa na kuondosha ni Waziri Mkuu aliyechaguliwa na watu , Muhammed Shamte kwao Ole Pemba . Zanzibar si Kama Hongkong . Hongkong haijawahi kupigania uhuru au kuwa na kiti UN.
Kama unaendelea na ubishi endeleeni na sisi hatuna nguvu lakini tukipata nafasi tunauza Tanganyika polepole kwa Hao Hao waarabu mnapjitapa kuwa mliwaondosha
Z'bar ina kiti UN?
 
Huu Muungano uliharakishwa mno utasema Karume na Nyerere walikuwa wanakimbizwa na Entity fulani 🤔
 
Z'bar ina kiti UN?

Huyo aliyevaa miwani ni Waziri Mkuu aliyechaguliwa Zanzibar , Muhammed Shamte

Leo CCM na makanisa yanawaambia eti mwarabu alipinduliwa

1715593039578.jpeg
 
Z'bar ina kiti UN?


Tatizo mnaikumbatia Zanzibar sijui kwa nini , Nyerere aliwaroga . hakuna Mzanzibari anayeupenda huu Muungano labda hawa walafi wa CCM na hao moyoni wako vyengine.

Kwa sababu hatuna njia mumetutawala kwa nguvu tukipata nafasi tunawanyoosha kwa kuwauza nje basi. hata mkitaka kujinasua inakuwa mnafilisiwa.

fanyeni haraka kutupa uhuru wetu kila mtu aende kivyake au mtakuja kujuta huko mbele
 
Hoja zao zina mashiko

Litakuwa jukumu la nani kuendesha gharama za serikali ya tatu ya Muungano?

Je, serikali ya Z'bar wataweza kusimama wenyewe?


Au zigo lote litaiangukia serikali ya Tanganyika?
Kwani nani anagharamia serikali hizi mbili zilizopo?
 
Back
Top Bottom