Kama tunataka Muungano, lazima Muundo Ubadilishwe

Over their dead bodies!

Mzanzibar sio mjinga, asingekubali YAGUDU!

Na Samia Suluhu Hassan asingekubali YAGUDU!

President Samia is a Zanzibar extremist nationalist, yupo kupanua maslahi ya Zanzibar kwa udi na uvumba, angeshaufuta huo utaratibu first day in office.

Prove it!

Ingia mtaani Zanzibar muombe muuza duka akuonyeshe risiti ya ZRA na ya TRA kwa bidhaa hiyo hiyo uzilete hapa uzibandike

Hawa TRA Zanzibar wanakunywa urojo ?? Wakati wa Amani karume walikuwa wakija asubuhi, jioni wanaondoka na magunia ya pesa
 
Si muiweke moja , muone mtavyoongeza dau 😝😝😝 akili ni mali
Kama unayo mawazo na hutaki kuyafunua, badala yake unafumba fumba tu, haitasaidia kitu. Serikali moja ndilo suluhisho la muungano.
Zanzibar is part and parcel of Tanzania; inseparable.
 
Hayo Yaliwashinda Ethiopia na Eritrea , Cape verde na Guinea Bissau,

Senegal na Gambia nk

Katiba ya Zanzibar haisemi hivyo
 
Hayo Yaliwashinda Ethiopia na Eritrea , Cape verde na Guinea Bissau,

Senegal na Gambia nk
Lakini China na Hong Kong, na baadae Taiwani. Huo ndio mfano unaotakiwa kuufahamu. Hizo nyingine ni tofauti kabisa na huu wetu.
 
Elimu ya CCM ni mzigo kwelikweli .

Hongkong haijawahi kuwa nchi hata siku moja wala kuwa mwanachama wa UN na kuwa na kiti cha UN.

hata Taiwan ni hivyo hivyo haijawahi kuwa si sehemu ya China ni ukorofi wa wa Marekani tu kutaka kuuza silaha zao

Zanzibar ni nchi na ilikuwa nchi kabla isipokuwa ni juhudi za Nyerere kuupiga vita uislamu na pia kuona aibu nchi ndogo itaendelea katika mfumo wa demokrasia ambao yeye hautaki ndio akaivamia na kujitia kuiunganisha kwa mabavu . Huu si muungano ni uvamizi.

View: https://www.youtube.com/watch?v=fEIfOPshWBg
 
Haijalishi. Zanzibar is part and parcel of Tanzania, inseparable.
 
hayo ni maneno ya vijiweni , muulize Lissu au Mbowe atakufahamisha zaidi
Sina uhusiano wowote na hao uliowataja, na wala sijui wao wapo upande gani kuhusu swala hili.
 
Yaani thread zote zilizoandikwa kuhusu hotuba zao wewe uko sayari ipi au ulikuwa umelewa mbege wiki 2 hizi ??
 
Kwa hiyo Waarabu watawaletea chakula na nishati ya umeme?
watakuwa na small manageable economy, strong alliance na chumi kubwa za Arabia, watakuwa wako vizuri, watanunua chakula popote, Arabuni, Ukraine, popote, mbona Tanzania tunakula ngano ya Ukraine ? Watanunua, kwani sasa hivi chakula wanapata bure ?

umeme pia watapata kwa atakaewauzia, Tanganyika, yeyote, ukiwa na hela chochote unapata, wewe Mtanganyika concerns za Zanzibar zinakuhusu nini ?

Na pia sio fair, sio haki, kwa Watanganyika kukatwa kodi kuwapa Zanzibar umeme bure. Muungano ni mzigo mzito sana kwa Tanganyika. Tuvunje Muungano, Heavens to Betsy!
 
Marais wote ni wazanz
Kaunganeni na Kagame na yule wa Burundi wanautaka , sisi Wazanzibari tumechoka tuwacheni tupumue tushughulike na Zanzibar yetu
Marais wote na serikali zote i ni zenu mbona mnachelewa kujitowa? Mnakwama wapi mnazidiwa akili na machogo?
 
Yaani thread zote zilizoandikwa kuhusu hotuba zao wewe uko sayari ipi au ulikuwa umelewa mbege wiki 2 hizi ??
Sasa kama unajua kuna hotuba zao, halafu wewe ukanitaka nikawaulize wao; hebu jifikirie mwenyewe jinsi gani akili yako ilivyo pinda!
 
watakuwa na uchumi mzuri, watanunua chakula kutoka Arabuni...
kwani sasa hivi chakula wanapata bure ?

umeme pia watanunua kwa atakaewauzia, wewe Mtanganyika concerns za Zanzibar zinakuhusu nini ?

Na pia sio fair, sio haki, kwa Watanganyika kukatwa kodi kuwapa Zanzibar umeme bure. Muungano ni mzigo mzito sana kwa Tanganyika. Tuvunje Muungano, Heavens to Betsy!

Zanzibar hakuna umeme wa bure ukitaka njoo uone kila mtu ananunua LUUK
 
Marais wote ni wazanz

Marais wote na serikali zote i ni zenu mbona mnachelewa kujitowa? Mnakwama wapi mnazidiwa akili na machogo?

Serikali Ni zetu kwani hao maraisi walijiweka wenyewe au walichaguliwa na watu ?? Ndivyo mnavyodanganyana?? Uchaguzi uliopita mliuwa watu huku kuwaweka hao au mara hii mnamsahau yule Muuwaji Magufuli ??
 
Sasa kama unajua kuna hotuba zao, halafu wewe ukanitaka nikawaulize wao; hebu jifikirie mwenyewe jinsi gani akili yako ilivyo pinda!

ndiyo kwa sababu unajifanya huelewi , ungaliwauliza zaidi kwani akili yako inaonyesha imenyooka
 
Elimu ya CCM ni mzigo kwelikweli .

Hongkong haijawahi kuwa nchi hata siku moja wala kuwa mwanachama wa UN na kuwa na kiti cha UN.

hata Taiwan ni hivyo hivyo haijawahi kuwa si sehemu ya China ni ukorofi wa wa Marekani tu kutaka kuuza silaha zao

Zanzibar ni nchi na ilikuwa nchi kabla isipokuwa ni juhudi za Nyerere kuupiga vita uislamu na pia kuona aibu nchi ndogo itaendelea katika mfumo wa demokrasia ambao yeye hautaki ndio akaivamia na kujitia kuiunganisha kwa mabavu . Huu si muungano ni uvamizi.

View: https://www.youtube.com/watch?v=fEIfOPshWBg

Taiwan ndo ilishiriki kama China kuunda U N 1945.
 
Back
Top Bottom