Kama tunataka Muungano, lazima Muundo Ubadilishwe

Kwani nani anagharamia serikali hizi mbili zilizopo?
Serikali ya Mapinduzi ya Z'bar wana budget yao

Lakini kwenye hiyo budget kuna Z'bar's General Budget Support (GBS) kutoka serikali ya muungano au mfuko wa muungano (The United Republic of Tanzania)

Ina maana tukiwa na serikali tatu Z'bar hawatafaidika tena na huo mpango wa GBS. Itabidi wasimame wao kama wao.

Na kama haitoshi itabidi pia wachangie kwa kushirikiana na serikali ya Tanganyika kufanikisha uendeshaji wa serikali ya muungano

Unaona mambo yanavyokuwa magumu kwa Z'bar
 
Sasa nyinyi hamna matatizo mnahofia nchi ya watu ??? Ugonjwa gani kawatia Nyerere ??
 
Muundo wa Muungangano kati ya Tanganyika na Zanzibar haupo sawa na ndio sababu inayoufanya udumu

Kama hu muundo ukiwekwa sawa basi huu Muungangano utakuwa hauna faida na hautadumu

Yani kuwe na

SERIKALI YA MUUNGANO
Raisi wake
Waziri mkuu wake
Baraza la mawazori wake
Bunge lake
Mahakama zake

SERIKALI YA TANGANYIKA
Raisi wake
Waziri mkuu wake
Baraza lake la mawazori
Bunge lake
Mahakama zake

SERIKALI YA ZANZIBAR
Raisi wake
Waziri mkuu wake
Baraza lake la mawazori
Bunge lake
Mahakama zake

Huo utakuwa ni upuuzi na Dunia mzima itatushangaa
 
Tunawaonea huruma maana hiko kisiwa ukitoa utalii hamna kingine chanzo kingine chochote cha maana cha mapato

kabla ya uvamizi kwani tuliishi vipi ?? na kulikuwa hakuna huo utalii

Tutavyoishi sisi tunamtegemea Allah , wewe jiangalie nafsi yako , nyinyi wenyewe huko maji mnaita mma kwa umasikini mnamiminika kwa maelfu huku Zanzibar hata hamna pa kulala mnalala kwenye parks na mapaa ya nyumba za michenzani kutafuta ajira.

Au mmoja wapo ni wewe unahofia kuvunjika muungano unaogopa kurudi kwenu ??
 
Hako kazanzibar huku bara ni sawa na mkoa tu. Nyinyi Wapemba mbona mmejazana huku bara na hatuwasemi
 
sasa kama ni kadogo inakuwaje mnajazana huku kwa maelfu kutafuta ajira ?? Hao wapemba si watarudi kwao ?? hawajamuua mtu huku wala huko bara

Tuwacheni tupumue tumechoka na nyinyi Tanganyika
 
Hujawahi kuwa na akili. We kajitafutie mlo wako muundo wa muungano unagusa vp maisha. Waasisi wa Taifa la Tanzania walikuwa sahihi kuweka huu muundo. Sababu zimeelezwa vizuri sasa mazuzu km wewe hayawezi kuelewa mpaka yanakufa.

Mada ni kwaajili ya wenye akili timamu tu.
 
sasa kama ni kadogo inakuwaje mnajazana huku kwa maelfu kutafuta ajira ?? Hao wapemba si watarudi kwao ?? hawajamuua mtu huku wala huko bara

Tuwacheni tupumue tumechoka na nyinyi Tanganyika
Wapemba ndio wengi huku kuliko wa bara huko?
 
Muundo wa Muungangano kati ya Tanganyika na Zanzibar haupo sawa na ndio sababu inayoufanya udumu

Kama hu muundo ukiwekwa sawa basi huu Muungangano utakuwa hauna faida na hautadumu

Yani kuwe na

SERIKALI YA MUUNGANO
Raisi wake
Waziri mkuu wake
Baraza la mawazori wake
Bunge lake
Mahakama zake

SERIKALI YA TANGANYIKA
Raisi wake
Waziri mkuu wake
Baraza lake la mawazori
Bunge lake
Mahakama zake

SERIKALI YA ZANZIBAR
Raisi wake
Waziri mkuu wake
Baraza lake la mawazori
Bunge lake
Mahakama zake

Huo utakuwa ni upuuzi na Dunia mzima itatushangaa

Hapana. Haitakuwa hivyo.

SERIKALI YA MUUNGANO:
Rais wa JMT
Makamu wa Rais wa JMT
Waziri wa mambo ya nje
Waziri wa Ulinzi
Waziri wizara Mambo ya ndani
Gavana Benk Kuu
Waziri Elimu ya Juu
Mahakama ya Rufaa
Bunge la JMT litakaloundwa na wabunge kutoka Tanganyika na Zanzibar (jumla yao isizidi wabunge 30).

SERIKALI YA TANGANYIKA
Waziri Mkuu.
Mawaziri, Wizara zote zisizo za Muungano.
Wakuu wa taasisi zote zisizo za muungano.
Bunge la Tanganyika, kila wilaya ikiwakilishwa na mbunge mmoja.

SERIKALI YA Zanzibar
Waziri Mkuu.
Mawaziri, Wizara zote zisizo za Muungano.
Wakuu wa taasisi zote zisizo za muungano.
Bunge la Zanzibar.

NB. Serikali ya Muungano itaendeshwa kwa michango kutoka Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Zanzibar, kwa uwiano utakaokubaliwa.

Hapo hakuna ongezeko la gharama.
 
Serikali ya Mapinduzi ya Z'bar wana budget yao

Lakini kwenye hiyo budget kuna Z'bar's General Budget Support (GBS) kutoka serikali ya muungano au mfuko wa muungano (The United Republic of Tanzania)

Ina maana tukiwa na serikali tatu Z'bar hawatafaidika tena na huo mpango wa GBS. Itabidi wasimame wao kama wao.

Na kama haitoshi itabidi pia wachangie kwa kushirikiana na serikali ya Tanganyika kufanikisha uendeshaji wa serikali ya muungano

Unaona mambo yanavyokuwa magumu kwa Z'bar

1. Wazanzibar wana ambition kubwa zaidi kuliko vi budget support kutoka Tanganyika. Wanataka wawe huru ku pursue alliance nyingine na falme tajiri za Arabia. Kila mtu maishani ana dreams and ambitions zake, tusiingilie hii economic ambition ya Zanzibar, tuwaache wai pursue, Muungano unawazuia.

2. Hizo budget support kwa Zanzibar hazimsaidii Mzanzibar wa kawaida, zinaishia kuliwa na wakubwa wa Zanzibar, ni mahela yanayoenda kutunza viongozi na wastaafu na wajane zao...

3. Sio fair, sio haki, kwa Mtanganyika kulipa kodi inayopelekwa kwenye budget support Zanzibar wakati hakuna hela inayokuja Tanganyika kutoka Zanzibar. Zanzibar wana ZRA yao, makusanyo yao hayapelekwi TRA.

Muungano unaiumiza Tanganyika. Watanganyika amkeni, hata ajira zenu za TRA zinaliwa na Wazanzibar, mnakubalije nyinyi Watanganyika wapenda Muungano, kwa nini hatuna akili vichwaniiii ????
 
1. Wazanzibar wana ambition kubwa zaidi kuliko vi budget support kutoka Tanganyika. Wanataka wawe huru ku pursue alliance nyingine na falme tajiri za Arabia. Kila mtu maishani ana dreams and ambitions zake, tusiingilie hii economic ambition ya Zanzibar, tuwaache wai pursue.

2. Hizo budget support kwa Zanzibar hazimsaidii Mzanzibar wa kawaida, ni mahela yanayoenda kutunza viongozi na wastaafu na wajane zao...

Hiyo no 3 ina kasoro kwani huku Zanzibar iko TRA na inakusanya kodi na pia kuna ZRA ya zanzibar, Yaani mzanzibari anapigwa bakora mara mbili
 
1. Wazanzibar wana ambition kubwa zaidi kuliko vi budget support kutoka Tanganyika. Wanataka wawe huru ku pursue alliance nyingine na falme tajiri za Arabia. Kila mtu maishani ana dreams and ambitions zake, tusiingilie hii economic ambition ya Zanzibar, tuwaache wai pursue.

2. Hizo budget support kwa Zanzibar hazimsaidii Mzanzibar wa kawaida, ni mahela yanayoenda kutunza viongozi na wastaafu na wajane zao...

3. Sio fair, sio haki, kwa Mtanganyika kulipa kodi inayopelekwa kwenye budget support Zanzibar wakati hakuna hela inayokuja Tanganyika kutoka Zanzibar. Zanzibar wana ZRA yao, makusanyo yao hayapelekwi TRA.

Muungano unaiumiza Tanganyika. Watanganyika amkeni, hata ajira zenu za TRA zinaliwa na Wazanzibar, mnakubalije nyinyi Watanganyika wapenda Muungano, kwa nini hatuna akili vichwaniiii ????
Kwa hiyo Waarabu watawaletea chakula na nishati ya umeme?

Ni kweli muungano hauna faida yoyote kwa bara nakuunga mkono
 
huku Zanzibar iko TRA na inakusanya kodi na pia kuna ZRA ya zanzibar, Yaani mzanzibari anapigwa bakora mara mbili
Over their dead bodies!

Mzanzibar sio mjinga, asingekubali YAGUDU! Na Samia Suluhu Hassan asingekubali YAGUDU!

President Samia is a Zanzibar extremist nationalist, yupo kupanua maslahi ya Zanzibar kwa udi na uvumba, angeshaufuta huo utaratibu first day in office.

Prove it!

Ingia mtaani Zanzibar muombe muuza duka akuonyeshe risiti ya ZRA na ya TRA kwa bidhaa hiyo hiyo uzilete hapa uzibandike
 
Serikali ya Mapinduzi ya Z'bar wana budget yao

Lakini kwenye hiyo budget kuna Z'bar's General Budget Support (GBS) kutoka serikali ya muungano au mfuko wa muungano (The United Republic of Tanzania)

Ina maana tukiwa na serikali tatu Z'bar hawatafaidika tena na huo mpango wa GBS. Itabidi wasimame wao kama wao.

Na kama haitoshi itabidi pia wachangie kwa kushirikiana na serikali ya Tanganyika kufanikisha uendeshaji wa serikali ya muungano

Unaona mambo yanavyokuwa magumu kwa Z'bar
Kwani Somalia wanachangiwa na nani kugharamia serikali yao?
 
Back
Top Bottom