Kama tunataka Muungano, lazima Muundo Ubadilishwe

Uwezo tunao japo wa kutoa maoni . Sisi wazanzibar katu hatuwezi kukubali kutawaliwa na Watanganyika katika uvamizi huu , iliyobaki tugawane mbao kistaarabu kama ilivyochukuliwa Mombasa yetu na Mngereza ikapewa Kenya.

Hamtaki , msipige kelele tukiuza kila kitu nje
Muungano unatakiwa utokane na ridhaa yawahusika, ambao ni wananchi. Na kikubwa ni kujiuliza, katika kuungana tunafaidika nini ambacho kama kila nchi ingekuwa ni nchi kamili, tungekosa.

Kwa nini tusiwe kama nchi za Ulaya, chini ya European Union? Wananchi wanatembeleana, bila ya kuhitaji viza, wana mifumo ya kodi inayofanana, wananchi wao wapo huru kuwekeza na kuajiriwa jatika nchi yoyote. Sasa kwenye huu Muungano unaolalamikiwa na kila upande unatupatia nini cha ziada, kuyazidi mataifa ya Ulaya chini ya European union.

Tukiachana kwa amani na urafiki, hata muungano ukivunjika tutaendelea kuwa marafiki, tutaendelea kushirikiana chini ya kanuni za East Africa Community.
 
tatizo hizo nchi za Ulaya hazikuvamiwa na kulazimishwa kuungana , kinyume na huu Uvamizi uliopewa jina la muungano, huku kwetu
 
Mwarobaini wa huu Muungano ni Serikali tatu.

Halafu kuturusu kwenda kununua Ardhi Visiwani mbona kuoa tunaruhusiwa?

Sisi Wabara tukiwa wengi huko Sultani wa Omani hawezi tena kuja kutuvamia,labda aletwe na Samia.
 
Sasa nyinyi hamna matatizo mnahofia nchi ya watu ??? Ugonjwa gani kawatia Nyerere ??
Nje ya Muungano hakuna Zanzibar bali kuna Pemba na Unguja. Tunaogopa kutengeneza kambi za wakimbizi kama zilizopo Ngara na Kigoma.

Hakuna watu wana roho nyepesi kwa kutoana uhai kama wapemba
 
Mwarobaini wa huu Muungano ni Serikali tatu.

Halafu kuturusu kwenda kununua Ardhi Visiwani mbona kuoa tunaruhusiwa?

Sisi Wabara tukiwa wengi huko Sultani wa Omani hawezi tena kuja kutuvamia,labda aletwe na Samia.

Sultani wa Chato vipi ? Na yule Sultan wa Butiama mizimu yao bado inawasumbua akili
 
Nje ya Muungano hakuna Zanzibar bali kuna Pemba na Unguja. Tunaogopa kutengeneza kambi za wakimbizi kama zilizopo Ngara na Kigoma.

Hakuna watu wana roho nyepesi kwa kutoana uhai kama wapemba
Nje ya muungano , kwani Huo uvamizi ulianza lini ? Zanzibar ipo zaidi ya miaka 2000 na hizo chuki Za Nyerere hatujasikiapo. Maneno hayo yameanza baada Nyerere kuvamia katika jitihada Zake Za kuwabagua watu awatawale. Wazanzibari ni pamoja kwa koo zao na dini yao sio kama nyinyi huko kwa ukabila
 
Kwani Wazanzibari wenyewe si ni wasukuma, wanyamwezi, wadigo waliotoka huku bara.? Na wachache kutoka mashariki ya kati waliokuja kibiashara. Ubaguzi na chuki zinatoka wapi?
 
tatizo hizo nchi za Ulaya hazikuvamiwa na kulazimishwa kuungana , kinyume na huu Uvamizi uliopewa jina la muungano, huku kwetu
Kwa Wazanzibari na siasa zao, TZ ni pressure valve kubwa sana.

Majority ya Wazenj wametoka Tanganyika.

Sasa cha mno nini? Serikali tatu, lete! Italeta mtikisiko, mbona tuna mambo ya kufanya kuliko kujisikia vibaya Mzanzibari akizikwa Oman?

Mzee Mwinyi alizaliwa Kisarawe. Mbona kazikwa Mangapwani?

Mimi naamini tuko poa tu. Nionyeshe Muungano wa nchi mbili au zaidi zozote duniani zisizokuwa na changamoto.

Hata States za US, mara moja moja zinataka kujitanua. Halafu Supreme Court in rule out.

Tu create genuinely independent institutions za Union Governance, then tutaweza kulala na kupigia makofi majaji wetu kwa 'Landmark Decisions '.
It's not that easy, but it is simpler kuliko kujificha mchangani kama tunavyofanya.
 
Muungano unaoutaka wewe hauwezekani , wazenj wako wenye kwao bara lakini wenye kwao Zanzibar ni wengi . Unaelewa kuwa Zanzibar na Mombasa ilikuwa nchi moja kwa karne nyingi mpaka 1963 kabla uhuru. Sasa wapi wengi wenye asili ya Mombasa , au asili ya bara iliyoanza 1964 ? Mbona hatupigi kelele? Ni kwa sababu Hakuna aliyetufanyia unyama zaidi ya Watanganyika.
Kwa hivyo kuungana kwa muda huu si rahisi ni afadhali kila
Nchi ikasepa kivyake . Tusivutane bure na kubembelezana kupotezeana wakati kulumbana na kisiwa kinachoingia zaidi ya mara 10 000 . Si wakati wa kuupoteza Huo Bali ni wakati mkaijenga nchi yenu , kisiwa kinawarudisha nyuma Bure kuwalisha wezi
 
Sultani wa Chato vipi ? Na yule Sultan wa Butiama mizimu yao bado inawasumbua akili
Hao uliowataja ni Viongozi wa Kiafrika waliotawala Afrika hatutaki Masultani wa Muscat kututawala tena sisi sio Waafrika wa Karne ya kumi na nane.
 
Kwani Wazanzibari wenyewe si ni wasukuma, wanyamwezi, wadigo waliotoka huku bara.? Na wachache kutoka mashariki ya kati waliokuja kibiashara. Ubaguzi na chuki zinatoka wapi?

Huku kuna watu kila mmoja ana kwao. Mwinyi kwao Mkuranga Kama vile Mkapa kwao Lindi, Nyerere Butiama Salmini kwao Kidonge , Hao wabara walioko huku wana makwao huko Tanganyika
 
Hao uliowataja ni Viongozi wa Kiafrika waliotawala Afrika hatutaki Masultani wa Muscat kututawala tena sisi sio Waafrika wa Karne ya kumi na nane.
Hata Kama ni masultani? Haya subiri utawaliwe na Sultani wa Ki chaga Mwafrika Sultani Mbowe
 
Sisi kwa sisi hata kama Salim Ahmed Salim angenitawala sina neno mimi sio mbaguzi wa rangi ninachopinga ni kutawaliwa na Masultani wa kigeni wanaochukua amri kutoka Muscat.
 
Kutawaliwa na Sultani wa Kichaga anayechukuwa amri kutoka Brussels na Vatican ni sawa au vipi?
 
Kutawaliwa na Sultani wa Kichaga anayechukuwa amri kutoka Brussels ni sawa au vipi?
Ni bora kuchukua Amri kutoka Brussels kuliko Muscat Sultani wa Omani mwenyewe anachukua Amri kutoka London.
 
Kumbe unazitaka amri Za Brussels na Vatican zinazotaka kuruhusu ushoga?
 
Wewe wasema, mbona Sultan Qabuus alikuwa akilawiti Vijana hapo Muscat.

Inasemekana alikuwa Mende kipenzi cha Tuzi.
 
Wewe wasema, mbona Sultan Qabuus alikuwa akilawiti Vijana hapo Muscat.

Kama alikulawiti na wewe sawa maana unaelewa zaidi kwa hivyo Sultani wa Kichaga ndio akaenda Vatikan na Brussels kupata ushauri wa namna ya kuruhusu ushoga Tanganyika?
 
Wazungu wanalawitiana bila uoga na sio Wanafiki ninyi mnalawitiana huku mna tasbihi na kujifanya wachaMungu.

Hata Zanzibar mchezo wa kulawitiana umeletwa kutoka Omani.

Sio tabia ya Kiafrika.
 
Kwa hivyo ndiyo Sultani wa Kichaga akawafuata wazungu ili mlawitiane Kama wao bila kujificha au vipi?
 
Back
Top Bottom