Kama tumedhamiria kupambana na madawa ya kulevya wekeni scanned mashine boda zote

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,586
Else tutakamata na kuendelea kukamata bila kudili na chanzo. Uganda nimewapenda wakati unaingia nchini mwao unapita kwenye mashine unatoa vyote.

Kwetu tofauti wanaingia kama wanaelekea msibani.
 
:D:D!!!umenichekesha saaana...kwa taarifa yako hatuna uwezo wa kudhibiti mapori yote hayo.
 
Umeshambiwa mzigo unadondoshwa baharini halafu boti zinaufuata
Utaweka mashine kuanzi mpaka na Kenya hadi wa Msumbiji?
 
Mkuu hizo scanner unazozisema Ni kwaajili ya kudetect weapons Tu.scanner za kujua Kama mtu Ana madawa tumbon hazitumiki coz mionz yake Ni hatar kwa afya ya binadam.Ndo mana hii vita mi ngumu mtu aliebeba tumbon Ni mpaka ashtukiwe au achomwe ndo anaweza kukamatwa
 
Vifaa vipo ila ila kutokana na kanchi ketu ni kwa ajili ya transit tu, sijui kama tutatumia mabilioni wakati tuna mambo muhimu.
tsascanner3.jpg
 
Back
Top Bottom