Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Something is wrong somewhere!
Kwa muda wa miaka miwili na zaidi sasa takwimu zinazotolewa na Serikali na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi zinadai kuwa Tanzania tunaongoza kwa kupokea idadi kubwa ya Watalii wanaotembelea nchi yetu ikiwemo mbuga zetu za wanyama na vivutio mbalimbali.
Kutokana na taarifa hizo, tulitegemea leo katika shughuli ya Rais kupokea Gawio kutoka Taasisi na Mashirika ya Umma, Taasisi za TANAPA na NGORONGORO ndizo zingeongoza kwa kutoa Gawio la Serikali.
Tofauti na hayo kwenye shughuli iliyofanyika leo, Taasisi hizi zinazosimamia sekta ya Utalii sio kwamba hazijatajwa kwenye Taasisi zilizoongoza kutoa Gawio bali hata kwenye Taasisi zilizofanya vizuri kwenye kutoa Gawio hazijatajwa wala kupewa tuzo.
Maswali makubwa ya kujiuliza kwenye hili ni;
Fedha za taasisi hizi zinazotajwa kuongoza kupokea wageni ambao tunajua wanalipa hela nyingi zimepelekwa wapi? Je kuna wizi mkubwa unafanywa kwenye Taasisi hizi?
Akili kumkichwa Watanzania.
CCM ni laana.