Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 14,516
- 27,011
- Thread starter
- #61
NISAIDIE KWENYE HII SALAMU YA KITAIFA ANAYESALIMIWA NI NANI KAMA NI WANANCHI BASI SWALA LA IMANI YAO HUWEZI LIKWEPA LABDA TUFUTE KABISA HIZI DINI ZA WAZUNGU NA WAARABU...... KILA KABILA LINA SALAMAU ZAKE....... KWA KABILA LANGU TUNASALIMIA KWA KIONGOZI KUSEMA TUSHIKILIE YALIYO MEMA SISI TUNAITIKIA NDIYO
Bwashee hoja yako ni ipi.?
Kama kila kabila lina salamu zake, kwanza hapa hatujadili zile salamu za kujuliana hali... nimetoa mifano michache ya vile ‘vibwagizo’ kabla ya kuongea na hadhira.
Unaposema CCM HOYEEE hiyo ndo tumeitumia hapa kama salamu japo sio kwa lengo la kujuliana hali, hata katika vijiji vyetu wakati wa vikao kuna ‘salamu’ fulani hutumika za kimila.
Hivyo basi, kama kabila tumeweza kuwa na ‘vibwagizo’ vyetu... mbona kitaifa tunatumia salamu za kiimani.?