Kama Taifa, tunashindwa vipi kuwa na salamu yetu kwenye mihadhara ya kitaifa tukaepuka hizi za kidini?

Mwanzoni mwa paragraph nilianza kuona unataka kuleta udini nikagundua baadae sio hasa ulipotafsiri Aslam aleikhum kuwa ni amani iwe juu yenu kwa mantiki hiyo sio salamu ya waslam bali ni kwa lugha ya kiarabu tu.Hata YESU alisemaga Amani iwe juu yenu.

Naona point yako ina mantiki mimi kuondoa kadhia hii napendekeza teseme UMOJA NA MSHIKAMO wanaojibu waseme NDIO NGUZO YETU hii iwe salamu ya kitaifa
Napendekeza: Viwandaaa..
Tunajibu:Uchumi wa kati
 
Umuofia kwenu!

Bila shaka hii ni salamu timilifu na isiyobagua, labda kwa asiyeelewa tu.

Basi, kama Taifa tunakwama wapi?

Kuanzia vyama vya siasa, na hata timu za michezo wana salamu zao. Ukisikia CCM hoyeee, Haki Sawaaa, Mbele Daimaa... unapata picha halisi uko sehemu gani!

Hatuna dini ya Taifa, ila kila Mtanzania anayo dini yake. Wala salamu hizi za kidini hazina ubaya, ni nzuri na tumezoea kuzitumia ila haiondoi ukweli kuwa si zetu.

Tatizo linakuja ni mambo ya imani, hivyo msemaji yampasa kutumia salamu kama zote ili tu kugusa makundi yote. Hili ni tatizo, ni kupoteza muda na kuwachosha waitikiaji.

Kwa uchache ni Asalaam aleykum, Bwana Yesu asifiwe, tumsifu Yesu Kristo... hizi ndo maarufu sana.

Mara nyingi sana ni ukakasi kwa muislamu kutumia hizo salamu za kikristo, hasa kutaja Yesu hivyo wengi huishia asalaam aleykum tu na wana maelezo yao. watakwambia sio ya kidini bali ‘amani iwe nanyi’!

Wakristo mara nyingi sio watu wa kujali, hawana tatizo kutumia salamu zote. Nisieleweke vibaya sipo kwenye dini hapa, najenga hoja tu.

Yote hii ya nini, kutumia salamu nne tano kwa wakati mmoja na bado tu nina uhakika kuna makundi utayaacha!

Uhuru na Umoja ndiyo nembo yetu, pengine sio dili kwa sasa basi hata Amani na Upendo. Hii ni mifano tu, tulitunga nyimbo za Taifa itakuwa salamu!

Hebu tulione hili, tunaweza kupendekeza na mifano hapa. Mamlaka sikivu zikiona inafaa zitalifanyia kazi.

Wasalaam,

Ncha Kali.
Na hizo ulizotaja zimeanza hivi karibuni tu. Mwanzoni hata sikumbuki kama kulikuwa na salamu yoyote ukiachilia za kisiasa.
 
Ukiambiwa amani na upendo iwe juu yako maana yake ni kwamba maisha yako yawe na amani na upendo pia

NINI TATIZO HAPA au huhitaji amani ama upendo?
 
Mbona salaam zipo nyingi tu sema hazitumiki.
Wakati tunakua nakumbuka kulikuaa pia na hii mojawapo:
Msalimiaji: Tanzania Oyeee
Wote: Oyeeee
Msalimiaji : Tanzania Juu
Wote: Juuuuu
Msalimiaji: Tanzania Juu
Wote: Juu Juuu Juuuuuuuuuu
Msalimiaji: Ahsanteni sana

Baada ya hotuba...

Msalimiaji: Tanzania Juuu
Wote: Juu juuu juuuuuuu
Msalimiaji: Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Namasumbwe, ahsanteni kwa kunisikiliza

Labda twende huko....
 
Tunahitaji amani na upendo, lakini umesoma hoja na kuelewa.?
 
Mbona salaam zipo nyingi tu sema hazitumiki.
Wakati tunakua nakumbuka kulikuaa pia na hii mojawapo:
Msalimiaji: Tanzania Oyeee
Wote: Oyeeee
Msalimiaji : Tanzania Juu
Wote: Juuuuu
Msalimiaji: Tanzania Juu
Wote: Juu Juuu Juuuuuuuuuu
Msalimiaji: Ahsanteni sana

Baada ya hotuba...

Msalimiaji: Tanzania Juuu
Wote: Juu juuu juuuuuuu
Msalimiaji: Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Namasumbwe, ahsanteni kwa kunisikiliza

Labda twende huko....

Japo sielewi maana ya neno ‘oyeeee/hoyeeee’ ila nafikiri limekaa vizuri tu, naungana na wewe... Tanzania Oyeeeee!!!

Tanzania yetuuuu, ni Muungano WETUUUU.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Hivi unajua hakuna umoja TZ?
sasa hiyo salam ya nn ni heri kutumia salam isemayo "Amani iwe juu yenu" na waitikiaji wajibu "na iwe hivyo"
Mwanzoni mwa paragraph nilianza kuona unataka kuleta udini nikagundua baadae sio hasa ulipotafsiri Aslam aleikhum kuwa ni amani iwe juu yenu kwa mantiki hiyo sio salamu ya waslam bali ni kwa lugha ya kiarabu tu.Hata YESU alisemaga Amani iwe juu yenu.

Naona point yako ina mantiki mimi kuondoa kadhia hii napendekeza teseme UMOJA NA MSHIKAMO wanaojibu waseme NDIO NGUZO YETU hii iwe salamu ya kitaifa
 
Kwa nini tutumie kiarabu kusalimiana wakati lugha zetu rasmi ni Kiswahili na Kingereza?

Back
Top Bottom